What attracts women to older men?

What attracts women to older men?kwa hii tittle tu ni pesa and security
olders are predictable, ila mayanki are unpredictable leo yes kesho big TOKA HAPA
 
What attracts women to older men?kwa hii tittle tu ni pesa and security
olders are predictable, ila mayanki are unpredictable leo yes kesho big TOKA HAPA

Merytina si older wote wanafaa, once a player always a player... And for you to predict a player in some ways you have to be one....
 
Yap. Definately ... kama ujuavyo u can tell alot (even if few) from a person hata kama u have not seen them.... Alafu si pia kuna ile issue ya kupenda lawyer Lady ...LOL
Hahaha! Asha D unajua ku-connect them dots lol!!!
 
Unajua wababa wazima wanajua sana kubembeleza si kama vijana wa kisasa.kwa msichana anaependa kudeka akimpata mtu mzima huyu atafall hata kama hana pesa.
na upande wa pili wa shilingi ni kweli wanaangalia pesa kwa m-baba mtu mzima. ukieleza shida yako kabla hujamaliza utaulizwa ni sh ngapi inahitajika. itatolewa na marupurupu, compare to agemate inakua sivyo hivyo. hii ni same same hata kwa boyz kufall kwa wamama watu wazima.

kinachosababisha yote hayo ni tamaa na kutokuiona kesho yako ikoje.
 
"Viserengeti havina mapenzi ya kweli, vinataka kujifurahisha tu" Hii ilikuwa ni kauli ya dada mmoja kuhusiana na mapenzi na wanaume wa rika dogo. Hivyo si ajabu kwamba katika kitu kimojawapo kinachowavutia kwa Wanaume wenye umri mkubwa ni mapenzi ya dhati ambayo kwa viserengeti hawayapati.
 
Hahaha, naona mzee atakuwa haishi kutabasamu nyumbani kwa vituko vyako lol

Wanaridhika basi TF... niwachache sana ku appreciate. Ukibahatika ukapata firt mwenza kua perfect we take it for granted, mpaka usumbuliwe huko ndo una appreciate. But namshukuru I know am a big part of his life and whenever am not there asmuchas he is all man, he is somehow so lost. Hawezi sema but i see it, so i appreciate for he is not good with words... but actions mmh... with actions thats a whole new level...LOL
 
Kaiza, Kaiza, what is wrong?

good....coz at leaste u have sniffed something fishy...hahaha uyo dogo apo juu, mnaelekea wapi? Uliona kweli wanaume wawili 'wenye mawazo' ya mwanamke huyo huyo wakakaa meza moja wakaelewana?

Kumbuka ninasoma kati kati ya mistari

sasa,mimi niko kwen late 30s and I think ninaqualify kwenye 'older men'....mmh?
 
Kuna kitu hapo tena kikubwa ngoja nisimwage mchele kwenye kuku wengi lol
 
good....coz at leaste u have sniffed something fishy...hahaha uyo dogo apo juu, mnaelekea wapi? Uliona kweli wanaume wawili 'wenye mawazo' ya mwanamke huyo huyo wakakaa meza moja wakaelewana?

Kumbuka ninasoma kati kati ya mistari

sasa,mimi niko kwen late 30s and I think ninaqualify kwenye 'older men'....mmh?
Hahaha!! Zidumu fikra za Mwenyekiti, kwenye Chama Mwenyekiti haruhusiwi kupingwa lol
 
Back
Top Bottom