AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Yaani mie nimetoka kapa kabisa afadhali wewe una vijisentensi mie sina kabisa hebu ukivifanyia kazi uni pm tafadhali maana nahamu kweli ya kuelewa lakini ndo hivyo tena lugha gongana
DA acha kutupiga changa la macho, Hio signature yako manake nini vilee???