What are your Likes?

What are your Likes?

Kula (vyote Judgment anajua namaanisha nini)
kulala (pia Judgment anajua maana ya kulala )
muziki
kusafiri
 
Last edited by a moderator:
Samaki, samaki, kwani hamna anayependa Ugali Kienyeji, zile bitter herbs zenye zinakaa hazijaiva, kwanza na mapilipili mob? Juu mi hupenda sana hiyo
 
kwakuwa ni k...
nami naanza na
K
movie
.....
 
wali /ugali
nyama ya mbuzi +sungura+chairfire+sato samaki
vegetable aina zote


movie,novel na kuchat
napenda vingi duh
 
Watu wengi sana hapa wanaogopa kufunguka. Mimi naweza,
Hivi ndivyo vitu tatu navipenda sana.
1. Reggae Music
2. Colour ya blue
3. Computers and technology stuff
Nani mwingine aweza 'dare talk openly'?

1:Music Blues 2:Colour: Black 3😛rofessional:Accounts 4:Love
 
Back
Top Bottom