maskini alichakufa siku nyingi.
Khaaaaa
endelea.....na wewe umeolewa?
mh,me mmoja ni lecturer pale ud. mwingne ni mama wa nyumban. mwngne cjui anafanya kaz gan bt ni member humu thou hajui ka namfahamu lol!
mimi nimeolewa na ni nesi....mume wangu ni dereva wa magari makubwa anaenda sana Burundi na Congo.....
Ndiyo maana,......................
siku akisafiri kwenda burindi nitonye.....tupige deal la contract