Primary- Mmoja ni mwanamuziki wa Bongo Hip Hop,
O-level mmoja aliamua kuchagua chuo badala ya kwenda A-level so jamaa anapiga dip ya Civl Eng, pale DIT, wa pili anapiga MIST Electrical Eng, so jamaa walipita njia ya mkato. Wa 3 alifariki tulipo kua form 5 alifia shule ya Weruweru. Na mimi ndo nasubiri maamuzi ya TCU.
Ahsanteni kwa kunipa nafasi.