What are the most random and absurd thoughts you’ve ever had?

What are the most random and absurd thoughts you’ve ever had?

1. Walihisi kupata mapacha ni miujiza ya miungu.

2.kizazi kimoja tu za takribani karne moja tu ndio kingeweza kudumu.

3.sio kila mtu anaosha mikono akitoka kukojoa , binafsi mtu akinipa mkono namsalimia kwa kumshika juu ya kiganja.

4 .hapo kwenye kuwapa pombe wanyama siwezi kufahamu vizuri.

5. Kuhusu umilele na furaha inategemea na vile unatafsiri mambo ila ili uweze kujua furaha lazima utambue huzuni ,bila kuwepo huzuni ni ngumu kutambua furaha ipoje.
Mangi uzi wa kinge mbona unakuja na kamusi la kiswahili 😹😹😹
 
Sijui kinge 😥😹😹😹
Ila nimecheka huu uzi wallahi kwanini kuwafanyia wenzio hivyo??
😂 😂 😂
Haa haaa, nimewafanyia nini sasa, lugha ya malkia nyepesi tu hii.
Sasa hivi najifunza kispanyola niende zangu Cuba 😂
 
😂 😂 😂
Haa haaa, nimewafanyia nini sasa, lugha ya malkia nyepesi tu hii.
Sasa hivi najifunza kispanyola niende zangu Cuba 😂
Nimeona kuna pipo zinatype huku zinafuta jasho na bado wametoa boko 😹😹

Hii lugha bana tu naipenda ila yenyewe haitupendi..!! Infropreneur njoo unisaidie huku ras simba wangu 😹
 
I often wonder if there are parallel universes, and if there's a version of me in each one that I’ll never get to meet 😔
 
Back
Top Bottom