What a year has been at JF...................!

Can't agree more ...respect for u such a sweet person u r Asha D



Oh! Nsiande such "Deep" words and from a fellow woman...
Nothing makes me prouder in a humbly way.... We rarely meet
but the few times i do enjoy your rare posts... and your down to
earth "self"... Hivo do admire you... Thanks Dearest... Be Blessed.
 
<br />
<br />
Amen. Nimeupenda. Ubarikiwe na jpili njema.
 
Ruta safi sana kiongozi, nimebarikiwa sana na maneno ya bibila uliyo yaweka kwenye bandiko lako.

Off topic

Nilitaka nikusaidie kumgongea msumari wa bati Mwita25 lakini mimi Nyerere alinibana kidogo na lugha ya mkoloni. Niko mweupee sana. Najua kidogo cha salamu na kazi yangu ya gym nayofanya.

Kama kuna msaada wa kuwa na lugha kama yako na uzee huu nitashukuru pia.

Ubarikiwe sana
 
ninawashukuruni nyote including one loser in the name of Mwita25..............................mchango wake pamoja ya kukosa mashiko bado ninauthamini...................achilia mbali anaongea asiyoyafahamu..........................well he is a sworn member of the outgoing team of the ..............kuhusu dots/dashes is a matter of taste and style................will name my top ten posts very soon...........................so keep yourself........................updated.....................
 
hahhaahhahahahahah RUTA JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MWITA ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii LOL bora umelikomesha hilo limwita mie huwa linaniboa na viinglish vyake kumbe kuna watu lugha imetulia hawajionyeshi tu kama ruta ,next time likinichokoza nitakuita RUTA ulitemeee mayai(english) mpaka likimbie hehee
 
Jestina umejificha wapi.....................am glad tupo pamoja kwenye hili.........................hawa jamaa wa chama cha magamba wananichukia kwa kuwapakia ukweli........................waache dhuluma tutakwenda pamoja nao................................lol..........tubarikiwe sote sana tena sana...............
 
<br />
<br />
unacheza ngoma usiyoijua
 

nipo mwaya,endelea kuwapa dozi....we love you the way you are!
 
Mwita25 wewe mtani wangu wacha fujo...............
 
A pat on the back pal.

Wewe ni mpiganaji wa JF haswa maana hata posts zako si haba...karibia 30'000 ndani ya mwaka mmoja tu wakati akina siye hapa na ujanja wote huu miaka karibia 2 hata posts 1'000 hazijafika!!

March on!
 

pheeeeeew!
hit them, boy....hit them hard where it hurts the most!!!
 

Ruta

Unaandika vizuri lakini hivyo vidoto doto sijui ndo vi-desh desh, vinapunguza staarehe ya kukusoma.

Ungeacha kuvitumia ungetusaidia sana wasomaji wako


Aina nyingine ya vidoti doti hii hapa chini

Wandugu wote mlioko katika mkondo wa njia ya huyu "mdudu" Irene.........tunawaombea ili msalimike..............kwa wengine huko NC poleni na I hope mmesalimika.

Mkulu William...........hope everything is fine......
 

usifikir nikusahau kukujibu ila mtandao hapa ofisini kwangu haukuwa shwari hadi hii jioni..........
 
There are 33 FIVE STAR articles todate but I am still tracing all of them to simplify its search..................so keep watching this space for more................

1) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...eja-agoma.html



2) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-kulikoni.html

3) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...wa-dowans.html

4) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...na-wakati.html

5) https://www.jamiiforums.com/sports-an...etini-leo.html

6) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...aandamano.html

7) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...anguka+kwa+CCM

8) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...oral+character


9) https://www.jamiiforums.com/tanzania-...+ndani+ya+JWTZ

10) https://www.jamiiforums.com/tanzania-...a+uchaguzi+huu

11) https://www.jamiiforums.com/tanzania-...idi+kutangazwa

12) https://www.jamiiforums.com/tanzania-...ura+milioni+15

13) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ge+wetu+umombo

14) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...+Shein+Cabinet

15) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...aye+atoa+tamko

16) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...J2+kwa+vitisho

17) https://www.jamiiforums.com/internati...u+kila+aendako

18) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...+CCM+akataliwa

19) https://www.jamiiforums.com/katiba-mp....lakini+akwepa

20) https://www.jamiiforums.com/habari-na...+a+wapya+yaiva

21) https://www.jamiiforums.com/business-...+to+be+insured

23) https://www.jamiiforums.com/habari-na...engeti+road+on

24) https://www.jamiiforums.com/jamii-pho...a+lakini+Msuya

25) father-kizito-akamatwa-kwa-tuhuma-za-kulawiti.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…