Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
hongera kama hujala ban katika kipindi chote hiko.........
9Lakini ni kama ilivyoandikwa:
"Lile jambo ambalo jicho halijapata kuona,
sikio halijapata kusikia, wala halikuingia moyoni
lile Mungu alilowaandalia wale
Keep on shining brother...
Hongera sana Bwana Ruta..
Kweli naona upo kikazi zaidi..
Hongera.
Hongera.

shemeji hadi huku unakuja!

Na wewe ndio kusema hujui kilichonileta?

nshaelewa. Usimwage mchele kwenye vyuku vingi.