what a worse day

what a worse day

emma_laurent

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
61
Reaction score
7
baada ya kuumwa jno mda mrf nmeamua kwenda kultoa daah nmeumwa leo mpk nkajionea huruma pray 4 me frnds xo az i may get wel sun,,naumwa sna
 
Pole sana, jino linaumaga vibaya sana
 
white dent ni mbaya sana!
anyway pole mkuu
 
Anatafuta faraja.."sikuombei
mabaya ila nakutahadharisha.shida haina mmoja hata we inaweza
kukuta.."-university corner..

nsaidie kumwambia tyta mana pole zenu znanpa uafadhal mkubwa sna,,asanten kwa kujal
 
Anatafuta faraja.."sikuombei mabaya ila nakutahadharisha.shida haina mmoja hata we inaweza kukuta.."-university corner..

WEKA PICHA kwanza
Anajaza server tu anawapa shida watu wanaotumia simu za kichina
 
Pole emma, na baada ya kupona tafuta mwalimu akufundishe kuandika vizuri. Tabia hio ya uandishi itaku cost si mda na utapata maumivu zaidi ya jino. Sawa mtoto mzuri?
 
Pole emma, na baada ya
kupona tafuta mwalimu akufundishe kuandika vizuri. Tabia hio ya uandishi
itaku cost si mda na utapata maumivu zaidi ya jino. Sawa mtoto
mzuri?

nashukuru sana,,mwalimu atakua ni wewe
 
Pole mwaya. Una dawa ya kusukutua? Kama hauna usukutue maji ya uvuguvugu yenye chumvi kabla ya kulala na kuamka asubuhi.

pia jitahidi walau mara moja kwa mwaka uende kwa dentist kusafisha meno, itazuia meno kuoza. Piga mswaki asubuhi na kabla ya kulala pia.
 
Pole mwaya. Una dawa ya
kusukutua? Kama hauna usukutue maji ya uvuguvugu yenye chumvi kabla ya
kulala na kuamka asubuhi.

pia jitahidi walau mara moja kwa mwaka uende kwa dentist kusafisha meno,
itazuia meno kuoza. Piga mswaki asubuhi na kabla ya kulala pia.

nashukuru sana kwa ushauri wako ntaufata kama ulivonielekeza
 
Back
Top Bottom