Hahahaha! Juzi uliniahidi kuwa hutamtaja tena ! Una masifa wewe!
Hahahaha! Juzi uliniahidi kuwa hutamtaja tena ! Una masifa wewe!
Mungi ametumwa kuikomboa nchi hivyo hawezi kula bata mpaka nchi imekombolewa! Hivi anaenda tanga kweli? Hachelewi kusema anasimamia kesi ya Lema lol.
Shindwa manake ndoa yangu haina mgogoro!kwani mgogoro wao umeshatoka mezani kwako?
Mungi hawezi acha kwenda! Labda Lily Flower amkataze! Lakini alituhakikishia tukiwa na LiverpoolFC na Arushaone kwamba atatia timu!
Tehe tehe tehe! Yatakushinda! Umekazana kweli kunizibia riziki lol. Eti Mrs. Mungikwa mujibu wa hadidu za rejea za Mzee wa Rula huyo ndiye Mrs. Mungi!
Tehe tehe tehe! Yatakushinda! Umekazana kweli kunizibia riziki lol. Eti Mrs. Mungi
Yako na marejesho yanakushinda yangu utayawezea wapi?Kumbe Mungi ni riziki yako!? Kwani "haramu kwako si ni halali kwa Lily Flower? Au ni vice vesa?
Samahani hivi hapa tunatakiwa kuchangia nini tena?Weeeeeeh! Ishia hapo hapo! Kwanza unachakachua thread yangu!
Tehe! Kipofu kaona mwezi lazima wafurahi.