What a President

Gorby yuko sana tu.
Ana foundation yake kubwa kweli
Hiyo foundation yake ipo Russia au Ukraine ?? Huyu si ndio wanasema Marekani ilimtumia kuisambaratisha Soviet Union ? Au ni conspiracy theories tu ??
Kama alitumika nao Warusi wamemwachaje hai mpaka leo ?
 
mbona naskia russian ni wabaguzi hapo kwenye band naona waafriaka
 
Hiyo foundation yake ipo Russia au Ukraine ?? Huyu si ndio wanasema Marekani ilimtumia kuisambaratisha Soviet Union ? Au ni conspiracy theories tu ??
Kama alitumika nao Warusi wamemwachaje hai mpaka leo ?

Haahaa,
Sera ya Perostroika na Glasnost kwa mara ya kwanza zilipangwa miaka ya 60's hata Gorbachev hafahamiki.
Ukiangalia vizuri sera za Uchumi za Nikita Kruschev utaona kuna chembe-chembe nyingi za Glasnost na Perostroika.
Kilichovunja SOVIET UNION kilikuwa ni mkataba ambao unaitwa (the Belavezha Accords) ambao ulisainiwa kisirisiri na viongozi wa Ukraine, Belarus na Russia.

Ikumbukwe kwamba mwaka 1991 kuna mapinduzi yalifanyika ya kijeshi ili kuwaua viongozi wote wa USSR pamoja na Gorbachev ili kuzuia muungano usivunjike. Lakini Yeltsin aliwazuia wale wanajeshi basi muungano ukavunjika.
Ukweli ni kwamba hata viongozi wa KGB walijua kabisa kwa Uchumi ulivyoharibika, mfumo wao wa uongozi na rushwa ndani ya USSR ni lazima wangekuja kushindwa vibaya siku za mbeleni.
So wakaamua kujipanga upya ndiyo unawaona hadi leo tena.
 
Asante Malcom ,historia niliikimbia hivyo kupata maelezo kama haya ni shule tosha kabisa
Nitajitahidi kusoma Novels na vijarida vingine kuongeza maarifa
 
Kui...you are in trouble.

Don't ever say USA baby again without kale kabenderaπŸ˜€.

USA baby

Aise, wewe Nyani Ngabu Wamarekani wanaweza wakakuajiri State department, au Ministry of Defence au kule kwenye taasisi ...ukawa spokesperson....teeh... teh natania tu.
 
Aise, wewe Nyani Ngabu Wamarekani wanaweza wakakuajiri State department, au Ministry of Defence au kule kwenye taasisi ...ukawa spokesperson....teeh... teh natania tu.

Aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…