What a President

JF inafurahishaga lakini, watu wanajibishana kwa video tu sasa...lol!
 
teh teh teh hebu iweke, nipate kuitazama kwa mara ya pili. Maana tangu nimeiona kwenye kundi la whatsapp, sijaipata tena.
Tunataka ile ya JPM akipiga ngoma. Mimi napenda sana wakuu wakijihusisha na sanaa namna hii. Ninawaona kama binadamu wenzangu.
 
Reactions: kui

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…