What a Powerful Picture

What a Powerful Picture

Na huo mstari aliosimama mzee wa southern killers, kuanzia yeye hadi mtu wa tano nyuma kuna waziri mkuu hapo yaani kasim, ridhiwan, kakurwa, simbachawene.
 
Wakuu,

Hii picha imepigwa Leo Chato kwenye mazishi ya Mama mzazi wa The Late John Pombe Magufuli Bi Suzana

Hii picha upande wa Kiroho inakuonesha kabisa katika hio circle Kuna mmoja Ni YEYE

Lakini wahenga wanasema Kwenye msafara wa Mamba huwezi kumkosa Kenge

Huwa wanaenda kwa pesa zao binafsi au pesa za nchi za walipa kodi??
 
Wakuu,

Hii picha imepigwa Leo Chato kwenye mazishi ya Mama mzazi wa The Late John Pombe Magufuli Bi Suzana

Hii picha upande wa Kiroho inakuonesha kabisa katika hio circle Kuna mmoja Ni YEYE

Lakini wahenga wanasema Kwenye msafara wa Mamba huwezi kumkosa Kenge

Unamuona mzee huyo ana mapenzi na chama sana kuliko wenye chama chao yani watu wapo msibani wewe unavaa chama ndo mnasema wazee wa zamani walikua na busara sana ndo kama hivi
 
Wakuu,

Hii picha imepigwa Leo Chato kwenye mazishi ya Mama mzazi wa The Late John Pombe Magufuli Bi Suzana

Hii picha upande wa Kiroho inakuonesha kabisa katika hio circle Kuna mmoja Ni YEYE

Lakini wahenga wanasema Kwenye msafara wa Mamba huwezi kumkosa Kenge

Yaani inasikitisha sana vidume vyote hivyo vya Tanganyika vimeamua kuwa kondoo wanaosubiri machinjo?

So sad
 
Hapo kuna chaguo la Msoga?vinginevyo wote msafara kenge
No, hapo kuna kete moja ya msoga, na kete nyingine mbili ambazo ni casualities of war.

Hio kete moja ya msoga ipo ili kuhakikisha queen fulani asienende direction zote anazozitaka, ila siku hio kete nayo ikimaliza kazi yake au kazi yake ikawa irrelevant basi nayo itakua casuality kama hizo kete nyingine mbili zilizostaafishwa.
 
Back
Top Bottom