Love is our destiny
And am happy to have that love from ma hubby kiwatengu every single day
Am happy when i wake up looking beside me and i see my BFF
Thank u and happy valentine LOVE
And all jf member HAPPY VALENTINE DAY
Abiria chunga mzigo wako mambo ya valentine anashindwa kutulia nyumbani ngoja nimsake aliko
Valentina unyumba usimpe akwambie alipokuwa kajichimbia
Valentina unyumba usimpe akwambie alipokuwa kajichimbia
Na ninahisi kishatokomea tena, amchunguze tu asijekuwa na nyumba mbili.
Nina kazi na huyu mwanaume looh! Dawa yake nimtafutie msaidizi mana atantoa moyo sasa. Sa sijui kakimbilia wapi tena jamani
Si unajua mapenzi ya bongo kama umeme wa Tanesco so watu wanatumia majenereta just incase.
Hapo changanya na zako....