shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Love is our destiny
And am happy to have that love from ma hubby kiwatengu every single day
Am happy when i wake up looking beside me and i see my BFF
Thank u and happy valentine LOVE
And all jf member HAPPY VALENTINE DAY
![]()
I love you so much....
![]()
I need you, more than you can Imagine...
![]()
![]()
Nielekeze nitakuja.Yo wellcome
Mbona umecheka sana, hata hivyo tabata kimanga kubwa mamito?Nimecheka sana njoo tabata kimanga
Mbona umecheka sana, hata hivyo tabata kimanga kubwa mamito?
Hivi ile baa ya Mwalimu pale migombani bado ipo?ukifika kimanga unapandabasi hadi kisukulu ukifika ulizia migombani wanamjua shasarie utaletwa hadi home kwangu
Kiwatengu Pub ipo Tabata Kimanga au Kisukuru?hapa karibu kabisa na kiwatengu pub
Kuna jamaa ameni-PM ilivunjwa kutokana na kuwa chini ya nyanya za umeme mkubwa. Palikuwa na kitimoto safi sana pale. Ile baa kubwa ya Green Park karibu na kanisa la kilutheri bado inatoa huduma?
Unajua miaka ya 2000 niliwahi kupata mrembo maeneo ya segerea, mtaa nyuma ya gereza na huko ndiko kulikuwa maeneo ya kujidai. Umenikumbusha mbali sana.Njoo ujionee mbona maswali mingi kwani we ni police