Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,468
- 46,273
Hao ni wale wanaoununua simu mbovu na kuzitengeneza ziwake tuu basi then wanaziuza kwa Mnada au promotion.Jamani na mimi nilishapigwa hapohapo maduka yanayotizamana na Shule ya Uhuru nikawaonesha risiti ya Jina la Duka wakanikatalia kabisa.
Hawa wauzaji wao wana simu aina nyingi sasa mm nikaletewa aina mojawapo inaitwa Bundy kwa manjonjo na promotion ya kupewa fulana na Betri wakadai niwape 250,000/
Wanapenda kukaa kwenye Noah kwenye choo cha kulipia kule Samora baada ya Clock Tower tumebishana wakashuka hadi 175,000/ fulana na Betri wananinyang'anya eti wanatangazia.
Jamani nusu saa hamna kitu simu haina Network, kwa vile nina risiti iliyoelekeza kuwa wapo Plot na Block mitaa ya Uhuru nikaipata, Boss akaniruka nikajua nimepigwa.
Baada ya mwezi nikawaona tena wapo Dodoma mitaa ya Nyerere square, wakanivaa na uongo wao basi kwa hasira nikawakoromea na kuwaonesha kimeo chao cha Bundy tena imekufa kabisa,
wakaniomba msamaha wakalala kona na mm nikawaambia bora wafungashe naifuata risiti nikawakamate.
Nashangaa mpaka leo bado wanaziuza tu na hawakamatwi na Noah yao ya kijivu T ??? CBV
nitaomba ruksa yenu nikipata picha niwaweke hadharani hapa
Jamani simu tununue maduka ambayo unaweza hata kuirudisha ukabadilishiwa
huyo Jamaa analo Duka kalisajili kwa jina la TRACE ... Co Ltd ndio anawatuma na anabishara nyingi tu wanazo kwenye gari ya Noah yupo mitaa hiyo hiyo opp na Shule Uhuru mchanganyiko na bado wanazunguka na Promo zao, iko siku wataingia 18 hata kwa mwingine. Naona kaagiza mzigo kaingizwa mkenge sasa kafanya deal apoze biashara zake.Hao ni wale wanaoununua simu mbovu na kuzitengeneza ziwake tuu basi then wanaziuza kwa Mnada au promotion.
Kaa Kijijini tu wewe maana unajua kila kitu kinauzwa dukani, na ndio mnaojua kuna simu aina mojaMwanaume kabisa nzima na ndevu zako sijui unaitwa baba nyumbani au unaitwa baby na mtu wako unaenda kununua simu imeandikwa Brand ya Bundy? Hahahaha au Vituz? Halafu unajitapa wewe ni wa mjini? Na wa Mwabhagosha wanunue simu aina gani sasa?
Duuh nje Samsung ndani Itel ?? Aki ya nani dunia hii🙄🙄 ila Kariakoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Unaweza usielewe Hadi yakukute..Mkuu inamaanisha unaweza kununua simu bila kuwasha hapo hapo Dukani?maana karibu simu zote ukiwasha lazima itokee brand/jina aina ya simu wakati wa kuwasha mfano Samsung, Nokia,Tekno,Itel,LG. Sasa unaposema unauziwa housing ya LG ndani mashine ya Itel au Tekno nadhani haupo sahihi.
Simu kuibadilisha brand wakati wa kuwasha inawezekana. Usibishe.Mkuu inamaanisha unaweza kununua simu bila kuwasha hapo hapo Dukani?maana karibu simu zote ukiwasha lazima itokee brand/jina aina ya simu wakati wa kuwasha mfano Samsung, Nokia,Tekno,Itel,LG. Sasa unaposema unauziwa housing ya LG ndani mashine ya Itel au Tekno nadhani haupo sahihi.
Kaa Kijijini tu wewe maana unajua kila kitu kinauzwa dukani, na ndio mnaojua kuna simu aina moja
hapo umeshaelezewa ni promotion ukajua ni mbuzi na kuku minadani, tembea mijini Mkuu acha ushamba
Nipe oda MimiDuuh nje Samsung ndani Itel ?? Aki ya nani dunia hii[emoji849][emoji849] ila Kariakoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Mnakumbuka K alivyoanza na mkwara pale alipokua naibu waziri?Mama wa afya si anaanza tusubiri mpe mda atapwaya na atatolewa ngoja uone rizavu wao wengi
Niliuziwa Flash Disk yenye GB 16 Kwa bei ya SHS 15000/= New Brand ikaCorrupt baada wiki moja. Eneo Hilo Hilo Kariakoo Kwa ndani. Inaitwa San Disk.Kuna mengi yanasononesha kwenye hii nchi polisi vituo vyote Tanzania nzima kumejaa rushwa lakini serikali ni kama vile haioni huu mchezo
Kama hao wauzaji wa kariakoo au popote huko bongo sio authorize dealer au agent wa kuuza hizi simu za SamsungUnaropoka ropoka naona
Kkoo ni vichochoroni?
Corridor inahudumia nchi zaidi ya kumi ni vichochoroni?
Punguza ujuaji...
Haijawahi kutokea hii mkuu labda box 64GB ila ndani 2GB😀😀Box ni 64GB lakini ndani ya simu ni 128GB
Nahitaji Tv mkuuNipe oda Mimi
Mi mwenyewe mkuu niliuziwa flash ikajaribishwa kabisa iko poa inasoma ile kufika home haioneshi kitu, duka lenyewe nikawa silikumbuki basi ikala kwangu.Niliuziwa Flash Disk yenye GB 16 Kwa bei ya SHS 15000/= New Brand ikaCorrupt baada wiki moja. Eneo Hilo Hilo Kariakoo Kwa ndani. Inaitwa San Disk.