Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

Daah wahuni sio watu aisee wanawarudisha sana watu nyuma hapo inatakiwa waweke nondo juu sio watu waje wachukue mali kirahisi kama za kwao ila watakuja kukamatwa tu ingawaje inaweza kuwa sio leo..
 
Kuwa makini na hizo silaha zako, zinaweza kukuletea madhara bado dhaifu sana kwa vibaka wa usiku.

ndani ya Kabul - Afghanistan.
Sipo peke yangu kuna vijana wote hapa mtaaani tumejipanga wote nimewapa mafuta
 
State less country tutarajie uhalifu zaidi na zaidi kuongezeka maana mamlaka hazina sauti na ndani ya hizo mamlaka kuna waarifu maradufu.
 
Hivi bado kuna vijana wana tabia za wizi wa aina hiyo siku hizi.
 
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka

View attachment 3426890

Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa ceiling board ambapo waliiba mali kwenye maduka ya simu, nguo na duka la bidhaa za jumla za matumizi ya nyumba.

Source: Eastafricatv
WEZI WA MAMA
 
Back
Top Bottom