Social Psychologist
Member
- Aug 10, 2020
- 6
- 10
Siyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.Watakuwa ni mmoja wa wafanyakazi wake alichonga funguo.
Jipange umsaidie.
Pole..Muwezeshe asimame tenaJamani.
Hata Mimi simu ya kwanza kupokea Leo ni ya wizi wa duka la mama yangu lililoko nyumbani.
Wamebeba vyote wameacha tu mizani na fridge
Duh poleni sana sana, dahHellow african
Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa
Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale
Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?
JF panafurahisha'Huruma' ameshaolewa.
Pole sana ila wekeza bidii kwenye kutafuta chanzo cha tatizo(usitumie fedha nyingi lakini). Hapo kuna mtu yuko karibu kabisa amechora mpango. Angalia majirani wako kibiashara na watu wote wanaokaa karibu na biashara yako. Pili chukuwa tahadhari ili hali isijirudie tena. Kuna namna unaweza kuweka makomeo na kufuli zile nzuri. Bora utumie fedha ununue kofuli kama za brand ya Abbloy kuliko hizi za mchina ambazo ukizipigia kelele ''wee'' zinaogopa na kufunguka zenyewe. Na mwisho: siku hizi vifaa vya electronic ni vingi sana. Mtu ukiwa mbunifu unaweza kubuni system local ambazo zinapiga alarm na picha iwapo mtu anafungua mlango bila idhini.Asante
Huko majuu nao wapo?Siyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.
Matajili nao msiwaone hivi wamelia sana, mtu kaingiza kontena Salama kutoka ng'ambo na kalikaguwa, siku anakata seal na kulifunguwa hamna mzigo.
Wanakata seal, wanafunguwa makufuli wanapakuwa mzigo wote, wanarudishia makufuli na kuweka seal nyingine, ila wizi huu lazima walinzi washiriki.
Waliogunduwa Camera haya mambo ndio yamewakera sana, sasa hivi kama una kauwezo camera ni muhimu sana, hata kama haizuii kuibiwa lakini utajuwa pa kuanzia.
Wiz wa mtaani ni changamoto sana maana hata wenye ukuta wanali wenye camera wanaliaSiyo kweli, kuna master key, kuna watu vitasa vikiwaona vinafunguka vyenyewe.
Matajili nao msiwaone hivi wamelia sana, mtu kaingiza kontena Salama kutoka ng'ambo na kalikaguwa, siku anakata seal na kulifunguwa hamna mzigo.
Wanakata seal, wanafunguwa makufuli wanapakuwa mzigo wote, wanarudishia makufuli na kuweka seal nyingine, ila wizi huu lazima walinzi washiriki.
Waliogunduwa Camera haya mambo ndio yamewakera sana, sasa hivi kama una kauwezo camera ni muhimu sana, hata kama haizuii kuibiwa lakini utajuwa pa kuanzia.
Hizi ndizo akili za Wakili wa ShetaniKukufariji, Ukiangalia vizuri utaona kuwa hakuna hasara yoyote kwenye uchumi. Si kwamba mizigo imeharibika. ila pole sana kwa maza mkuu.
Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao
Dunia nzima, ila majuu wizi wa ndani hakuna labda kufunguwa magari.Huko majuu nao wapo?
Heading inahitaji maboresho. Omba kwa Moderator AkusaidieHellow africans,
Leo afrajiri saa kumi na moja simu yangu inaita kuangalia ni mama anapiga nilistuka kidogo kupokea na msikiliza na sikia sauti ya kilio analia moyo wangu ukapasuka kujaribu kuuliza vizuri anasema ameibiwa mzigo wake wote wa dukani ambao alikuwa ameuleta juzi tu dukani akili ikazidi kuchanganyikiwa.
Nikakata simu kumpigia jirani ndio ananiambia kuwa wezi wamefungua duka bila kuvunja wakaiba na hawaja vunja popote pale.
Kwanini watu wasifanye kazi nao wapate mali zao kukicha kuiinda mali za watu watu wanarudishana nyuma sana mtu unakosa ata huruma unaenda dukani kwa mtu unavunja ndio nini?