Huu ni udhalilishaji wa binaadam.
Wangeshikwa wakabebeshwa hilo tank na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini si kuwachwa utupu.
Sasa jamani kuna uhusiano gani kati ya huu wizi na mavazi kuvuliwa?
Sasa jamani kuna uhusiano gani kati ya huu wizi na mavazi kuvuliwa?
Huu ni udhalilishaji wa binaadam.
Wangeshikwa wakabebeshwa hilo tank na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini si kuwachwa utupu.
Wangewabebesha tank lakini wasiwavue nguo?Wangeshikwa wakabebeshwa hilo tank na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini si kuwachwa utupu.
Wangewabebesha tank lakini wasiwavue nguo?
Huna hatia mpaka utakapothibitishwa vinginevyo kwenye chombo cha sheria maana yake hata kitendo cha kumbebesha tank ina maana tayari umeshamhukumu! Kwa nini nibebe tank na mimi sijaiba?
Na kuna sababu.
Prosecuting attorney akiipitisha mahakamani picha ya mtumiwa kama kielelezo cha utambulisho wake, akiwa kabeba Sim tank anaelekea polisi hii psychologically ina affect mind ya mtoa haki, hakimu ama wazee wa baraza n.k. kwamba hawa jamaa kwa kiasi fulani wanakiri kosa kwa kubeba tank wenyewe, kumbe wamebeba kwa hofu mbele ya fimbo na mawe na mafuta ya taa. Tuzidi kujizatiti katika utawala wa sheria ambao kwa kweli bado ni dhana za kigeni kwetu.
Sawa kabisa, lakini baada ya kuliongelea hilo la kudhalilishwa kwa utupu hukuishia hapo, uka advocate abebeshwe tenki. Halafu unasema wewe sio mwanasheria. Ukisema, kwa mfano, mafuta ya mkunazi yanatibu Ebola, ukaambiwa unapotosha jamii, huwezi kujibu "mimi sio mganja."Mimi si mwanasheria lakini nimeona wako utupu na hilo ndilo nimeona kuwa ni udhalilishaji wa binaadam.