Wezi wa simtank mbele ya mahakama ya wananchi

Wezi wa simtank mbele ya mahakama ya wananchi

Huu ni udhalilishaji wa binaadam.

Wangeshikwa wakabebeshwa hilo tank na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini si kuwachwa utupu.
FaizaFoxy hiyo kauli hujaimalizia. Nikusaidie kidogo- vyombo vya sheria na siku ya pili wakaonekana mitaani wakitafuta chengine cha kukwapua,- sasa endelea.
 
Kweli kabisa huu ni udhalilishaji.

kyengu bora huu udhalilishaji wa hivi kuliko wangewakatishia maisha. Siku ukiona mwizi anapigwa nakwambia wewe mwenyewe utawaomba wamwache umvue nguo umtembeze mtaani
 
Huu ni udhalilishaji wa binaadam.

Na hii vipi?...

3.JPG

4.JPG
 
Shida ni pale wake za waliowavua nguo watawawakia tamaa hawa jamaa maana kila mtu anapotazama anaona lake
 
View attachment 202071

Huyo ana resist kukamatwa.... Wala hajatembezwa uchi, kabebwa, tena kwa staha....
Mshutumiwa amesokomezwa rungu kwenye ziwa au baya zaidi afande anajaribu kumfunika likitambaa usoni, anaweza ku suffocate, wewe unasema wamem treat kwa staha, wapi hapo inapoonyesha "kabebwa tena kwa staha"?

Ame resist kukamatwa, umejuaje, from press release ya Kamanda Kova?

Hajatembezwa uchi, hivi haki za kiraia za mshukiwa lazima kutembezwa uchi peke yake ndio ziwe zimekiukwa?

Law enforcers wa Tanzania wanajulikana kwa abuse and brutality of suspects, ni vigumu kuwatetea unless ni ushindani wa kisiasa na kishabiki.
 
Hapo mpaka wajukuu zao wataipata kuwa babu yako alitembezwa uchi mtaa huu, na huo ni udhalilishaji
 
Mshutumiwa amesokomezwa rungu kwenye ziwa au baya zaidi afande anajaribu kumfunika likitambaa usoni, anaweza ku suffocate, wewe unasema wamem treat kwa staha, wapi hapo inapoonyesha "kabebwa tena kwa staha"?

Ame resist kukamatwa, umejuaje, from press release ya Kamanda Kova?

Hajatembezwa uchi, hivi haki za kiraia za mshukiwa lazima kutembezwa uchi peke yake ndio ziwe zimekiukwa?

Law enforcers wa Tanzania wanajulikana kwa abuse and brutality of suspects, ni vigumu kuwatetea unless ni ushindani wa kisiasa na kishabiki.

Wewe wacha uongo.
 
Back
Top Bottom