Wezi wa Kariakoo wanatumia dawa au ni ujanja tu?

ilishanitokea k/koo jamaa alitegesha mguu nilivyojikwaa akajifanya anamind kumbe ile tunajibizana mwingine anachomoa simu, bahati nzuri kuna mzee alikuwepo pembeni akaniambia unaibiwa simu ile nageuka nakuta jamaa alieiba ananirudishia.... nikapokea sikufanya kitu ikabidi nisepe tu
Kama mimi hapo nageuka na kofi zito sana la usoni hadi aone nyotanyota, wakati bado ana maruweruwe ya lile kofi nafyatua ngumi mbili kali za masikioni ........kabla wenge la kipigo halijamuisha vizuri na mi nahakikisha nimemuibia chochote alicho nacho hata kama ana comdom tu

komando kinjekitile ngwale
 
Jamani leo Sina raha hata kidogo wezi wamepitia simu yangu bila kujua...iko hivi , Leo nikiwa kwenye mishe zangu saa 3_4 hivi Mara nyingi nikiwa kariakoo natembea haraka kulingana na idadi ya watu coz ukitembea taratibu huwezi kupishana na watu , niko hapa mwaka wa 4 kwa hiyo mm si mgeni kwa jiji la Makonda....nikiwa natembea service road na mnavyojua wa dar kwenye service road Kuna watu wanasaka tonge na Maanisha machinga wanaouza vitu pembeni pembeni...kwa hyo njia kwa wapita kwa miguu haitoshi inabidi utumie nguvu kidogo ...sasa nikiwa napita Kuna jamaa kajikuaa (act) na mm ckutegemea akanipush na pembeni kulikuwa na wale wanaotengeneza simu nikayumba kidog nilivyorud nyuma kwa hasira coz jamaa niliona kafany kwa maksudi nikamrukia kwa miguu ...akanijibu ki ustarabu tu ...samahan kaka bahati mbaya nikaendelea na safar natembea hatua tano hivi naingiza mkono mfukoni cm hamna na pale hatujakaa hata dk moja .. .nikavuta kumbukumbu kipindi namrukia jamaa baad ya kunisukuma kulikuwa na wengine pemben na ndio wameniibia coz huy alienisukuma kwa makusudi nilimrukia kwa teke kifuatini akayumba ....muda huo ndio nadhani wameniibia coz hakureact hata kidogo. ....na mm baad ya kumwona hajareact nikamuacha na kuendelea na safar na ndio napiga hatua tano nakuta cna cm ....kinachonishangaz jamaa wanaiba faster na kupotea haraka sana ...nimerudi haraka sana cjawakuta na kutokana na idad ya watu waliokua pale wamejichangany ...Cha pili wale wanatumia dawa / kitu coz wametoa cm mfukoni chini ya dk1 bila kujua na mfuko ni marefu hata ukiweka cm haionekani ...naenda kumwomba mdog wg msamaha nilimtandika kwa hasir baad ya kuniomba na kung'ang'ania cm tukuwa kariakoo akitaka aone coz ilikuwa mpya ndio cku hyo tulinunua akajifany mjanja kariakoo akaniacha nyuma naongea na class mate yeye akaendelea na safar baad ya robo saa namkuta stendi amevimba macho eti kaibiwa nilimcharaz makofi kwa hasir na siku hyo kila mtu alifika nyuman kivyake ....MDOGO WANGU NISAMEHE KWA UJANJA WANGU NA MM LEO NIMEIBIWA NA WASELA MAVI......mpk sasa hv am more than 27 yrs ndio Mara ya kwanza kuibiwa bila mm kujua. dah..

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili tu,ukiwa unazubaa zubaa wanajua tu huyu mshamba
 
Hao viumbe wakisha kuibia huwezi kubahatika tena kukutana nao sijui wanatumia dawa gani mimi walishawahi kuniibia simu mbili kwa siku moja niliisusa kariakoo miezi.
Mkuu mm niltoka kununua sabufaa sasa nikawa nimeibeba kichwani natafta magar ya Kimara. Dadaadeki sijui jamaa alitoka wapi akaniambia boss ngoja nikubebee sasa nilivyokuwa nishachoka na joto kali la dar nikasema poaaa . kilichotokea basi tuuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm niltoka kununua sabufaa sasa nikawa nimeibeba kichwani natafta magar ya Kimara. Dadaadeki sijui jamaa alitoka wapi akaniambia boss ngoja nikubebee sasa nilivyokuwa nishachoka na joto kali la dar nikasema poaaa . kilichotokea basi tuuu....
Malizia stori
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia stori !
 
Au wanatumia yale makitu yanaitwa Burndaga yanayopatikana Colombia! Kuna uzi niliwai kuusoma umu jf kabla cjawa member, gram1 ya Burndaga ina madhara makubwa unakua tahira kwa dakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani leo Sina raha hata kidogo wezi wamepitia simu yangu bila kujua...iko hivi , Leo nikiwa kwenye mishe zangu saa 3_4 hivi Mara nyingi nikiwa kariakoo natembea haraka kulingana na idadi ya watu coz ukitembea taratibu huwezi kupishana na watu , niko hapa mwaka wa 4 kwa hiyo mm si mgeni kwa jiji la Makonda....nikiwa natembea service road na mnavyojua wa dar kwenye service road Kuna watu wanasaka tonge na Maanisha machinga wanaouza vitu pembeni pembeni...kwa hyo njia kwa wapita kwa miguu haitoshi inabidi utumie nguvu kidogo ...sasa nikiwa napita Kuna jamaa kajikuaa (act) na mm ckutegemea akanipush na pembeni kulikuwa na wale wanaotengeneza simu nikayumba kidog nilivyorud nyuma kwa hasira coz jamaa niliona kafany kwa maksudi nikamrukia kwa miguu ...akanijibu ki ustarabu tu ...samahan kaka bahati mbaya nikaendelea na safar natembea hatua tano hivi naingiza mkono mfukoni cm hamna na pale hatujakaa hata dk moja .. .nikavuta kumbukumbu kipindi namrukia jamaa baad ya kunisukuma kulikuwa na wengine pemben na ndio wameniibia coz huy alienisukuma kwa makusudi nilimrukia kwa teke kifuatini akayumba ....muda huo ndio nadhani wameniibia coz hakureact hata kidogo. ....na mm baad ya kumwona hajareact nikamuacha na kuendelea na safar na ndio napiga hatua tano nakuta cna cm ....kinachonishangaz jamaa wanaiba faster na kupotea haraka sana ...nimerudi haraka sana cjawakuta na kutokana na idad ya watu waliokua pale wamejichangany ...Cha pili wale wanatumia dawa / kitu coz wametoa cm mfukoni chini ya dk1 bila kujua na mfuko ni marefu hata ukiweka cm haionekani ...naenda kumwomba mdog wg msamaha nilimtandika kwa hasir baad ya kuniomba na kung'ang'ania cm tukuwa kariakoo akitaka aone coz ilikuwa mpya ndio cku hyo tulinunua akajifany mjanja kariakoo akaniacha nyuma naongea na class mate yeye akaendelea na safar baad ya robo saa namkuta stendi amevimba macho eti kaibiwa nilimcharaz makofi kwa hasir na siku hyo kila mtu alifika nyuman kivyake ....MDOGO WANGU NISAMEHE KWA UJANJA WANGU NA MM LEO NIMEIBIWA NA WASELA MAVI......mpk sasa hv am more than 27 yrs ndio Mara ya kwanza kuibiwa bila mm kujua. dah..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ila Buguruni ni balaa wizi wao wanategea uongee na simu halafu wanakugonga kipepsi cha mkono na kigongo au kichumi mwenyewe unaachia simu kwa maumivu yaliwahi nikuta hayo sins hamu na buguruni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm niltoka kununua sabufaa sasa nikawa nimeibeba kichwani natafta magar ya Kimara. Dadaadeki sijui jamaa alitoka wapi akaniambia boss ngoja nikubebee sasa nilivyokuwa nishachoka na joto kali la dar nikasema poaaa . kilichotokea basi tuuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha pole sana mkuu
 
ilishanitokea k/koo jamaa alitegesha mguu nilivyojikwaa akajifanya anamind kumbe ile tunajibizana mwingine anachomoa simu, bahati nzuri kuna mzee alikuwepo pembeni akaniambia unaibiwa simu ile nageuka nakuta jamaa alieiba ananirudishia.... nikapokea sikufanya kitu ikabidi nisepe tu
Hii technique inaonekana ndio inatumika sana, hata mimi iliwahi nikuta 2013, mtaa wa msimbazi msela kategesha mguu nikashtuka nikakanyaga pembeni akafuata akanikanyaga kidogo, nikam'mind nikakuta wala hapandi anaomba tu msamaha, nikashtuka maana nilitamani ajibu hivyo nikichafue pale maana nilikuea na mastress yangu na hasira natafuta pa kuzimalizia, ila kuona yuko down nikahisi kuna kitu ile namuacha tu nagusa mfukoni hakuna wallet fasta nikam'time, kimya kimya akamuita msela wake akanirudishia wallet yangu wala hawasumbui. Kumbe walikuwa wawili.
Halafu wadau pembeni wanaona mchongo mzima wala hawakushtui waanacha uibiwe.

Kama kuna mtu atapitia hii uzi, halafu akaja kuibiwa tena Kariakoo basi ni mzembe. Mtu akikukanyaga achana naye, wewe seal mifuko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm niltoka kununua sabufaa sasa nikawa nimeibeba kichwani natafta magar ya Kimara. Dadaadeki sijui jamaa alitoka wapi akaniambia boss ngoja nikubebee sasa nilivyokuwa nishachoka na joto kali la dar nikasema poaaa . kilichotokea basi tuuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom