Wezi wa Kariakoo wanatumia dawa au ni ujanja tu?

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Apr 29, 2017
198
500
Jamani leo Sina raha hata kidogo wezi wamepitia simu yangu bila kujua...iko hivi , Leo nikiwa kwenye mishe zangu saa 3_4 hivi Mara nyingi nikiwa kariakoo natembea haraka kulingana na idadi ya watu coz ukitembea taratibu huwezi kupishana na watu , niko hapa mwaka wa 4 kwa hiyo mm si mgeni kwa jiji la Makonda....nikiwa natembea service road na mnavyojua wa dar kwenye service road Kuna watu wanasaka tonge na Maanisha machinga wanaouza vitu pembeni pembeni...kwa hyo njia kwa wapita kwa miguu haitoshi inabidi utumie nguvu kidogo ...

sasa nikiwa napita Kuna jamaa kajikuaa (act) na mm ckutegemea akanipush na pembeni kulikuwa na wale wanaotengeneza simu nikayumba kidog nilivyorud nyuma kwa hasira coz jamaa niliona kafany kwa maksudi nikamrukia kwa miguu ...akanijibu ki ustarabu tu ...samahan kaka bahati mbaya nikaendelea na safar natembea hatua tano hivi naingiza mkono mfukoni cm hamna na pale hatujakaa hata dk moja .. .nikavuta kumbukumbu kipindi namrukia jamaa baad ya kunisukuma kulikuwa na wengine pemben na ndio wameniibia coz huy alienisukuma kwa makusudi nilimrukia kwa teke kifuatini akayumba ....

muda huo ndio nadhani wameniibia coz hakureact hata kidogo. ....na mm baad ya kumwona hajareact nikamuacha na kuendelea na safar na ndio napiga hatua tano nakuta cna cm ....kinachonishangaz jamaa wanaiba faster na kupotea haraka sana ...nimerudi haraka sana cjawakuta na kutokana na idad ya watu waliokua pale wamejichangany ...

Cha pili wale wanatumia dawa / kitu coz wametoa cm mfukoni chini ya dk1 bila kujua na mfuko ni marefu hata ukiweka cm haionekani ...naenda kumwomba mdog wg msamaha nilimtandika kwa hasir baad ya kuniomba na kung'ang'ania cm tukuwa kariakoo akitaka aone coz ilikuwa mpya ndio cku hyo tulinunua akajifany mjanja kariakoo akaniacha nyuma naongea na class mate yeye akaendelea na safar baad ya robo saa namkuta stendi amevimba macho eti kaibiwa nilimcharaz makofi kwa hasir na siku hyo kila mtu alifika nyuman kivyake ....

MDOGO WANGU NISAMEHE KWA UJANJA WANGU NA MM LEO NIMEIBIWA NA WASELA MAVI......

mpk sasa hv am more than 27 yrs ndio Mara ya kwanza kuibiwa bila mm kujua. dah..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Apr 29, 2017
198
500
Nilikua pale Congo,, akashuka binti anauliza wahuni wapi wanauza simu used,, walimdaka juujuu

Nikasema ngoja wakamungize mjini. Kkoo hakuchuji kabisa
Dah...ungemsaaidia...mm niliwai kumsaidia msukuma moja katoka shinyanga anaperekwa kiwanda Cha dhahabu dar .....nikamwonea hurum coz alikuja kurupoti Chuon CBE mpk leo ni rafik yg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Queenever

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,064
2,000
Dah...ungemsaaidia...mm niliwai kumsaidia msukuma moja katoka shinyanga anaperekwa kiwanda Cha dhahabu dar .....nikamwonea hurum coz alikuja kurupoti Chuon CBE mpk leo ni rafik yg

Sent using Jamii Forums mobile app
Weee. Niliogopa.

Halafu aliniudhi Yule binti ,anashuka kwenye Gari anawawahi wale wahuni. Wapi wanauza simu used??/ sijui ndivo alivoelekezwa???

Lakini atakua baada ya pale alipata somo
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,553
2,000
ilishanitokea k/koo jamaa alitegesha mguu nilivyojikwaa akajifanya anamind kumbe ile tunajibizana mwingine anachomoa simu, bahati nzuri kuna mzee alikuwepo pembeni akaniambia unaibiwa simu ile nageuka nakuta jamaa alieiba ananirudishia.... nikapokea sikufanya kitu ikabidi nisepe tu
 

Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Hao viumbe wakisha kuibia huwezi kubahatika tena kukutana nao sijui wanatumia dawa gani mimi walishawahi kuniibia simu mbili kwa siku moja niliisusa kariakoo miezi.
 

kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,571
2,000
Hakuna dawa yoyote wana ujuzi tu. Ukiangalia video youtube watu wanavyoibiwa sekunde tu mtu ameshachukua kitu. Wengine wanakuwa wengi akishachukua anampasia mwenzie haraka anasepa
 

KMMS

Senior Member
Jan 24, 2017
178
500
Mzee kuna dawa za kukupumbaza wanatumia! Kuna wengine ukiongea nao tu unaishiwa nguvu wanafanya yao wanasepa! Ni hatari nowadays day's.............

*Usiongee na mtu usomjua mjini
*Tembea na visimu vya elfu 10/15 mjini
*Wallet acha nyumbani
*Tembea na line yenye fedha kidogo
*Stand kuwa mwangalifu,wakati wa kupanda na wakati wa kushuka

Mjini Shule.
 

Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
682
1,000
ilishanitokea k/koo jamaa alitegesha mguu nilivyojikwaa akajifanya anamind kumbe ile tunajibizana mwingine anachomoa simu, bahati nzuri kuna mzee alikuwepo pembeni akaniambia unaibiwa simu ile nageuka nakuta jamaa alieiba ananirudishia.... nikapokea sikufanya kitu ikabidi nisepe tu
Kama hii imewahi nikuta K/koo maeneo ya Msimbazi. Jamaa kaja kanikanyaga maksudi halafu anadai nimemkanyaga, mimi nikakaa zangu kimya bila kuzungumza chochote. Sasa kumbe kuna raia zingine zikaja kutaka kuchomoa simu yangu mfuko wa mbele, uzuri nilikuwa nimevaa nguo ya Jeans, ikawa sio rahisi kwao kuniibia na ni tendo la haraka sana.
Umakini wangu ulisaidia, nahisi kama ningeanza kubishana na yule jamaa ningepoteza umakini na hatimaye wangefanikiwa lengo lao.
 

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
3,413
2,000
Mwandiko wako tu unaonyesha wewe ni mgeni mji wa makonda
Jamani leo Sina raha hata kidogo wezi wamepitia simu yangu bila kujua...iko hivi , Leo nikiwa kwenye mishe zangu saa 3_4 hivi Mara nyingi nikiwa kariakoo natembea haraka kulingana na idadi ya watu coz ukitembea taratibu huwezi kupishana na watu , niko hapa mwaka wa 4 kwa hiyo mm si mgeni kwa jiji la Makonda....nikiwa natembea service road na mnavyojua wa dar kwenye service road Kuna watu wanasaka tonge na Maanisha machinga wanaouza vitu pembeni pembeni...kwa hyo njia kwa wapita kwa miguu haitoshi inabidi utumie nguvu kidogo ...sasa nikiwa napita Kuna jamaa kajikuaa (act) na mm ckutegemea akanipush na pembeni kulikuwa na wale wanaotengeneza simu nikayumba kidog nilivyorud nyuma kwa hasira coz jamaa niliona kafany kwa maksudi nikamrukia kwa miguu ...akanijibu ki ustarabu tu ...samahan kaka bahati mbaya nikaendelea na safar natembea hatua tano hivi naingiza mkono mfukoni cm hamna na pale hatujakaa hata dk moja .. .nikavuta kumbukumbu kipindi namrukia jamaa baad ya kunisukuma kulikuwa na wengine pemben na ndio wameniibia coz huy alienisukuma kwa makusudi nilimrukia kwa teke kifuatini akayumba ....muda huo ndio nadhani wameniibia coz hakureact hata kidogo. ....na mm baad ya kumwona hajareact nikamuacha na kuendelea na safar na ndio napiga hatua tano nakuta cna cm ....kinachonishangaz jamaa wanaiba faster na kupotea haraka sana ...nimerudi haraka sana cjawakuta na kutokana na idad ya watu waliokua pale wamejichangany ...Cha pili wale wanatumia dawa / kitu coz wametoa cm mfukoni chini ya dk1 bila kujua na mfuko ni marefu hata ukiweka cm haionekani ...naenda kumwomba mdog wg msamaha nilimtandika kwa hasir baad ya kuniomba na kung'ang'ania cm tukuwa kariakoo akitaka aone coz ilikuwa mpya ndio cku hyo tulinunua akajifany mjanja kariakoo akaniacha nyuma naongea na class mate yeye akaendelea na safar baad ya robo saa namkuta stendi amevimba macho eti kaibiwa nilimcharaz makofi kwa hasir na siku hyo kila mtu alifika nyuman kivyake ....MDOGO WANGU NISAMEHE KWA UJANJA WANGU NA MM LEO NIMEIBIWA NA WASELA MAVI......mpk sasa hv am more than 27 yrs ndio Mara ya kwanza kuibiwa bila mm kujua. dah..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent by Diaspora
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom