Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Haya endelea kumpendaIla tatizo moyo
THINK TWICE WEWE KIAPO GANI ICHO MPAKA UKUUE,WENDA UKAOA MCHAWI MLA NYAMA ZA WATU. [emoji20]Ataniua nikishindwa kutimiza kumuoa
Hahahhaahahaaaa hamna kitu kama hichoMambo nikiyoyafanya nafikir atanifukuza
Heheheeee kazi kwako tuKumbe hata mm Popoma naweza pokelewa
Shake well before useNgoja niulize kidogo.
Nina mpenzi wangu ambae hoply nategemea kumuoa hapo badae badae lkn sijadinya na ni binti mrembo mno na anajielewa kwa kweli ,tunapendana fika na kuheshimiana kwa hali ya juu.
Lkn kuna fikra ambayo ishazoeleka kuwa ni kwamba ukidinya tu, ile heshima hupolomoka kabisa ,je kuna ukweli juu ya hili ??
Vpi kuhusu heshima ,na hili ndo limenifanya niulize haswa ?Shake well before use