Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
- Thread starter
- #21
👍Ukiendelea nitag
👍Ukiendelea nitag
🙏Usikawie
Typing...Enhee!!!
🙏Mkuu, endeleza stori. Tunataka tujue ile 150k uliifidiaje?
Anajaza jaza comments huku anafikiria kingine cha kuendelezanaona unahangaika ku reply badala ya kuendelea na story tukueleweje sasa
Mnatak kumkimbiza msimuliaji 😂😂Anajaza jaza comments huku anafikiria kingine cha kuendeleza
Ulionyesha upumbavu mkubwa sana hapanikasema potelea mbali acha niende naye nitamwachia chumba nitakuwa nalala sebuleni.
Kumekucha itakuwa ulikuwa humpi sasampa😀Si binti akasepa na vitu vyote gheto pamoja na pesa yangu ya akiba.... Kumbe yule mother alimpanga tu hakuwa mama yke wote walikuwa matapeli.
Mwisho...
Hapana, huu ni UJI!Anko sio chai kweli hii 😃😃😃