Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,093
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili lipi nje ya uwezo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili lipi nje ya uwezo wangu
ndioHahahaha mwakani ndio hutonikwaza....zimebaki cku 29 tu ifike hiyo mwakani
mzee wa popo umekuja?Mkeo anahitaji huduma ya kidaktari kuweza kuondokana na psychological effects za aliyotendewa.
Pili, kama huyo mjomba anaishi nanyi nadhani ni wakati wa yeye kufungasha na kwenda kwake. Besides, alijshajilipa in advance.
Pole sana mkuu!
mzee wa popo umekuja?
Kwa kweli Mke anamaumivu ambayo anahitaji kusaidiwa na ndio maana kasema na dawa kubwa ni kumuondoa uncle hapo nyumbani.Mkeo anahitaji huduma ya kidaktari kuweza kuondokana na psychological effects za aliyotendewa.
Pili, kama huyo mjomba anaishi nanyi nadhani ni wakati wa yeye kufungasha na kwenda kwake. Besides, alijshajilipa in advance.
Pole sana mkuu!
Uncle anaishi mbali nasi miaka yote.Kwa kweli Mke anamaumivu ambayo anahitaji kusaidiwa na ndio maana kasema na dawa kubwa ni kumuondoa uncle hapo nyumbani.
Ni ngumu sana kwa mkeo kwa kweli, kwanza muelewe muonyeshe upendo wa ziada aloukosa hapo zamani.
Suala la mjomba kwa kweli ni ngumu kumdharau bado atabaki kuwa mjomba tuu, mpeni nafasi anayolilia na mkeo amsamehe ili awe na amani ya moyo wake, adhabu hutoa Mungu pekee ndo ninavyoamini mimi
aiseee veery sad
maisha mengine ni mtihani.
Ni kumuachia Mungu tuu mkuu, huwezi jua sababu iliyopelekea hali hiyo kutokeaNimekuelewa mkuu hasa kipengele cha kumuachia Mungu.
Huwa nawaza labda huyo mjomba alikuwa na mambo ya kiganga maana ugumu niuonao kwa mtu kumfanyia hivyo mtoto wa dada yake ni sawa na kumfanyia mwanae tu.
Kibaya ni kwamba ndugu waliamini kuwa anamlea vema kumbe yeye daah.