jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,465
- 43,439
Wachunga kondoo(wachungaji) naona mmekuja na mada kali za kulazimisha kondoo wawape maokoto.
Karibuni kwenye dini ya haki ya UISLAM ambayo hailazimishi masikuni watoe zaka...wenye kustahiki kutoa zaka ni wale tu wenye kumiliki fedha ambazo thamani yake ni sawa sawa na gramu 85 za dhahabu... ( 13,664,523.78 TZS) kwa mwaka mzima.
Kiwango cha zaka ktk uislam ni asilimia 2.5 tu ya fedha hizo na hutolewa mara moja kwa mwaka.
Nilidhani huko hamtoi kabisa,kumbe mnatoa anyway kila jema ninyi mna dini yenu baki nayo acha tuwekane sawa kwenye ukristo utaratibu ni mzuri kabisa ni 10% ya pato lako tu simpo.