Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Bwege wewe
Sahihi kabisaFanya wajibu wako kikamikifu na kwa uaminifu, mchungaji akiamua kuifanyia mambo yake, hio laana itamla yeye
Sijui kama unaelewa maana ya kumuabudu Mungu katika Roho na kweli. Kiroho mwenye njaa ni aliyekosa chakula cha uzima, yaani NENO la Mungu ndani yake. Pamoja na haya, bado tunapaswa kuwasaidi wahitaji ila si KWA KUWAPA ZAKA. ZAKA sehemu yake STAHIKI NI KANISANI TU. Huko unaweza kupeleka hela yoyote uitakayo ila si ZAKA.Ila wewe jamaa hauna akili kabisaa sikutegemea mwenye njaa ni alisiyesikia neno daah hii nchii ina mzuzu wengi sanaa embu badilika basii
Au ni ww ndiye unazitaka hizo elaa [emoji22] na hatuziletiii hata kidogo na sileti tena huko kuwashibisha mavitambi tu na wengine wanaenda kuhongea na kula wake za watu
Tofautisha ZAKA, sadaka na misaada. Huna elimu ya kutosha kwenye hivyo vitu 3.Wajinga pekee ndio wanapeleka zaka makanisani ya sasa hv lkn watu wote hadi kina rockfellar family inatoa misaada zaka zao, wayahudi wenyewe wanatoa zaka kwenye charity, mimi n nan nikampe mwamposa akajengee hotel wanufaike na watoto zake?
Yes, wewe ni mwizi kabisa.Unaniita mwizi kwenye hela yangu? Mwizi ni huyo anasubiri nipeleke fungu la 10 ale yeye
Ahsante. Ila acha kumuibia Mungu.Bwege wewe
Sadaka ya fungu la kumi inatakiwa kutolewa kwenye Mlima Wa Mungu. Sio kila kanisa ni mlima, mengine ni bahariNyie watu hamjambo (in Magufuli's voice).
Hivi nikikuuliza fungu lako la kumi la huo mshahara wako wa Milioni 5, Tsh. 600,000/-, etc unatoa wapi fungu la kumi, utashindwa kunijibu. Utashindwa kutokana na uchoyo na ulaku wako.
Unataka miliooni 5 yote uitumbue peke yako. Unasahau kuwa kuna Mungu. Unatoa wapi fungu la kumi?
Kwa wahitaji, wajane, yatima na walemavu, si sehemu sahihi ya wewe kutoa fungu la kumi. Sehemu sahihi ni kanisani peke yake, au msikitini.
Ukitoa fungu la kumi huko ambako sipo, umepoteza na unakuwa mwizi kwa kumuibia Mungu.
Fungu la kumi unatakiwa ulitoe kwa moyo, pia ni amri ya milele, acheni visingizio vya kijinga.
Fungu la kumi ni LAZIMA, narudia tena kusisitiza hili. Sometimes kuna mmoja alitoa mpaka milioni 6 kwa mwezi. Nikasema woooow its so nice.
Simaanishi kwamba fungu la kumi linaliwa na Mchungaji pekee, no, bali linatumia kuwahudumia watumishi wanaohudumu madhabahuni kwa namna moja au nyingine.
Jamani msiwe wezi. Mbona kwa mganga wa kienyeji akikuambia upeleke ng'ombe, hubishi? Tena unanunua mpaka dume la Tsh. 900,000/- unalipeleka. Why uone nongwa kutoa kanisani? Wewe kijana ni mwizi. Unamuibia Mungu.
Zaka ni LAZIMA! Ni kwa faida yako mwenyewe pia. Acha wizi, alaah!
Hizo amri hazituhusu wamatumbi, nihangaike kufanya interview, ni bargain mshahara then mapato nimpelekee mtumushi wa mungu. Hell NoMkuu, whatever case, bado unapaswa kutimiza amri.
unasoma ili ujibu tu ama??Halafu kikishakuwemo chakula ghalani mwa Bwana? Kipi kinatokea kwa wale waliotoa hizo zaka?
Unaelewa maana ya "Kwa JINA LANGU mtatoa Pepo? Na kuponya nk.Nakuonesha vipi huyo Yesu wakati alishakufa, akafufuka na sasa ni Roho hivyo haonekani kwa macho ya ulimwengu huu wa nyama? Uliza vizuri swali lako.
Rudia kusoma swali lako. Wewe umewahi kumuona Yesu? Ok, mtu amepona mguu, may you tell me how unathibitisha umemuona Yesu? Lets go!Unaelewa maana ya "Kwa JINA LANGU mtatoa Pepo? Na kuponya nk.
Mkuu ebu jifunze BIBLIA TAKATIFU kwanza...
Ila Mungu hafichi fichi, huweka kila jambo bayana, akikuambia jambo, basi hukuambia na faida au hasara. Sasa kwenye ZAKA, faida zake alisema ni zipi? Unaweza kuzitaja? Mwisho jibu wewe ni Mkristo au Muislamu?unasoma ili ujibu tu ama??
zaka ni utii haijalishi umepata mibaraka au laah
unatoa zaka ili ujibiwe maombi yako basi unakua sawa na mtu anaetoa sadaka ili abarikiwe zaidi....HII NI IBADA ISIYO SAHIHI
I choose to be silent...!Rudia kusoma swali lako. Wewe umewahi kumuona Yesu? Ok, mtu amepona mguu, may you tell me how unathibitisha umemuona Yesu? Lets go!
Hukuuliza swali lako vizuri. Uliuliza vibaya. Kutoa pepo kwa jina la Yesu hakukupi guarantee ya kutaka kuonyeshwa Yesu.I choose to be silent...!
[emoji120]
Huna akili,yaani zaka wasipewe masikini,ipelekwe kwa matapeli kina kuhani musa 'na kina mmwanposa,
Halafu waislam Dini yao zaka imehamriwa wawape masikini usiwafananishe 'na wagalatia
Acha bangi kasome biblia na quran vzr kenge wewe
Kumbukumbu la Torati 26:12 Utakapokwisha kutoa zaka, katika zaka zote za maongeo yako mwaka wa tatu, ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba; When thou hast made an end of tithing all the tithes of thine increase the third year, which is the year of tithing, and hast given it unto the Levite, the stranger, the fatherless, and the widow, that they may eat within thy gates, and be filled;