Miss_Irene JF-Expert Member Jun 12, 2019 320 455 Jun 20, 2019 Thread starter #121 Psych counselor said: Naona kuna chemistry kati yetu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Eti eeeh!
Psych counselor said: Naona kuna chemistry kati yetu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Eti eeeh!
BioPsychologist JF-Expert Member Aug 23, 2017 724 1,014 Jun 20, 2019 #122 Miss_Irene said: Eti eeeh! Click to expand... Nahisi hivo maana sio kwa kukukubali huko!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Miss_Irene said: Eti eeeh! Click to expand... Nahisi hivo maana sio kwa kukukubali huko!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Feb 5, 2018 6,957 8,073 Jun 20, 2019 #123 Kila mtu ana vigezo vyake
Miss_Irene JF-Expert Member Jun 12, 2019 320 455 Jun 20, 2019 Thread starter #124 Kunde Ekeke said: Kila mtu ana vigezo vyake Click to expand... Mfano wewe vyako ni vipi mkuu?
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Feb 5, 2018 6,957 8,073 Jun 20, 2019 #125 Miss_Irene said: Mfano wewe vyako ni vipi mkuu? Click to expand... Tabia njema julimsha na uzuri hawe kaumbika aswa
Miss_Irene said: Mfano wewe vyako ni vipi mkuu? Click to expand... Tabia njema julimsha na uzuri hawe kaumbika aswa
Depal JF-Expert Member Nov 26, 2018 47,255 188,890 Jun 20, 2019 #126 Miss_Irene said: Nani bar maid mkuu,, me nawafunda tu kaka zangu ungejua nina maisha gani, nafanya kazi gani na nina muonekano gani hata huwezi jaribu kunisemesha tukikutana Click to expand... aiseeeee this is JF
Miss_Irene said: Nani bar maid mkuu,, me nawafunda tu kaka zangu ungejua nina maisha gani, nafanya kazi gani na nina muonekano gani hata huwezi jaribu kunisemesha tukikutana Click to expand... aiseeeee this is JF
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,560 142,344 Jun 20, 2019 #127 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw
Miss_Irene JF-Expert Member Jun 12, 2019 320 455 Jun 20, 2019 Thread starter #128 Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw Click to expand... Na wanjua kweli kubashili ukipost kitu fulani tu, utasikia wewe malaya
Smart911 said: Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw Click to expand... Na wanjua kweli kubashili ukipost kitu fulani tu, utasikia wewe malaya
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,560 142,344 Jun 20, 2019 #129 Miss_Irene said: Na wanjua kweli kubashili ukipost kitu fulani tu, utasikia wewe malaya Click to expand... Ukitaka kuishi kwa amani ishi maisha yako... Ukitaka kuishi kwa matumaini, sikiliza maneno ya watu... Cc: mahondaw
Miss_Irene said: Na wanjua kweli kubashili ukipost kitu fulani tu, utasikia wewe malaya Click to expand... Ukitaka kuishi kwa amani ishi maisha yako... Ukitaka kuishi kwa matumaini, sikiliza maneno ya watu... Cc: mahondaw
Avatar JF-Expert Member Mar 7, 2012 11,127 11,908 Jun 20, 2019 #130 Asante sana Miss_Irene said: 0711223366 napatikana hapo mkuu Click to expand...
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Apr 20, 2016 12,469 17,581 Jun 20, 2019 #131 Akili za kuambiwa changanya na zako Ni sawasawa mtoa mada anasema nikaoe single mother wanawake ni walewale
Akili za kuambiwa changanya na zako Ni sawasawa mtoa mada anasema nikaoe single mother wanawake ni walewale