Wewe unayeoa kwa kuangalia kazi, tabia na dini unadhani kuna tofauti?

Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,793
2,000
Habari za mida bandungu?
Kumeibuka tabia ya wanaume kutuchambua kama karanga (sisi wanawake) unasikia kabisa jamaa linasema "yaani nioe mwanamke anafanya kazi bar" sasa unadhani kuna tofauti ya papuchi ya mwanamke aliyeko bar na hawa wadogo zetu, dada zetu na wengine walioko makwao, shule na vyuoni?

Unaweza kushangaa idadi ya wanaume waliomkula bar maid inazidi kidogo tu kwa hawa mnaowaita wametulia au hata wanalingana tu!

Jamani wanaume mjaribu kufanya tafiti kidogo hawa wa nyumbani ndo wabaya sana siku hizi, unakuta ka-dada kako form two tu, ila kana mabwana wanne, mbaya zaidi wanaume nao wanaviamini hivi visichana vidogo hawatumii hata kinga

Sasa kasheshe linakuja pale hao wanaume wanne wanaokakula haka kabinti nao wana wanawake kama sita sita tena pembeni yaani ni bonge moja la mtandao hapo ila unakuta mtu anajiaminisha kabisa

Hebu fikiria binti wa form one one nae siku hizi ana mabwana,, sasa piga hesabu ya kawaida tu yaani kambinti kamalize form one kakiwa kameliwa na mabwana wanne, form two napo kaliwe na wanne tena hivyo hivyo form three na form four maana yake kanamaliza O'level kameliwa na mabwana kumi na sita Advance je? na chuo vipi??

Hapo unakuja kuoa mwanamke kamaliza chuo ana fanya kazi ofisi fulani ambayo alipata kazi kwa kugawa uloda kwa boss wake, sijipigii debe kwamba niolewe me bado mdogo

Ila wanaume muamini hakuna tofauti kama unaoa oa tu, kuna huyu wakuchuja alidai mchumba wake kamkuta bar so anataka kuvunja uchumba

Narudia tena hakuna tofauti kati yetu,, kama unabisha nenda kaoe sehemu na wewe uishi hapo hapo na mkeo uone vile wale waliokuwa wanamkula mkeo kabla hujamjua wanavyoendelea kukupigia

Ila ukipata mwanamke ambaye amejichokea na maisha ukamtunza vizuri na bahati nzuri awe na hakili ya kujichunga mwenyewe utapenda,, haya basi walionielewa nendeni mkaoe popote oa tu!
Amekusikia dada. Tatizo nawe ulienda kufanya kazi Bar bila ya kumtaarifu!
 

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
1,580
2,000
IMG_5780.JPG
 

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,126
2,000
Kosa halirekebishwi kwa kosa, kila mtu ana mapungufu yake pia kila mtu ana chaguo lake, kizuri kwako kibaya kwa mwingine! Bottom line ni kua kuna wake wanye vigezo vya kuoa na kuna wengine wana vigezo vya kua na urafiki tu! Kuitwa mke,mume au mzazi au mama/baba wa familia ni zaidi ya kupeana starehe!
 

Miss_Irene

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
320
500
Kosa halirekebishwi kwa kosa, kila mtu ana mapungufu yake pia kila mtu ana chaguo lake, kizuri kwako kibaya kwa mwingine! Bottom line ni kua kuna wake wanye vigezo vya kuoa na kuna wengine wana vigezo vya kua na urafiki tu! Kuitwa mke,mume au mzazi au mama/baba wa familia ni zaidi ya kupeana starehe!
Sawa mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom