Wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda /time management?

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Habari Wakuu,

Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi.
Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu sivifanyi kwa ufasaha.

Mfano. Kwenye hayo masaa 24 natakiwa:-
• Nifanye kazi masaa 12.(day)
• Nifanye kazi masaa 3.(usiku)
• Niingie kwenye mitandao ya kijamii.
• Nisome Vitabu.
• Nifanye mazoezi.
• Nisali na kusoma biblia.
• Nitembelee ndugu
• Nipike.
•Nicheze game.
•Nitazame Movie.
•Kulala.
• Usafi. n.k

Yote hayo inatakiwa niyafanye ndani ya masaa 24. Inanipa changamoto sana Ku manage muda wangu vizuri.
Huwa najikuta nimeegemea sehemu moja zaidi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Na mengine kutoyafanya kabisa.

Je, wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda wako vizuri?
Hii haitokuwa msaada kwangu tu. Najua kuna vijana wengine kama Mimi wanashindwa ku-manage muda ipasavyo.
69d2daed2fbeaa24fd500504d0347ffd.jpg
 
Tatizo lako unamanage time binafsi nilishaacha kumanage huwa na use time make sure you use time effective in stad of management yake, use time Manage money brother utaona mabadiliko
 
Tatizo lako unamanage time binafsi nilishaacha kumanage huwa na use time make sure you use time effective in stad of management yake, use time Manage money brother utaona mabadiliko
Unawezaje kutumia muda wako wa siku kwa vitu hivyo vyote.? Ebu tupe mbinu Mkuu
 
Kwanza lazima uwe na time flame ya nini unataka kufanya sasa kitu Kama kutembelea Ndugu hufanyi kila siku kuangalia movie sio kila siku usafi Upo mkubwa na mdogo haufanyiki kila siku game sio lazima jikite na tumia mda Mwingi katika Vipi vikupavyo faida
 
Habari Wakuu,

Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi.
Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu sivifanyi kwa ufasaha.

Mfano. Kwenye hayo masaa 24 natakiwa:-
• Nifanye kazi masaa 12.(day)
• Nifanye kazi masaa 3.(usiku)
• Niingie kwenye mitandao ya kijamii.
• Nisome Vitabu.
• Nifanye mazoezi.
• Nisali na kusoma biblia.
• Nitembelee ndugu
• Nipike.
•Nicheze game.
•Nitazame Movie.
•Kulala.
• Usafi. n.k

Yote hayo inatakiwa niyafanye ndani ya masaa 24. Inanipa changamoto sana Ku manage muda wangu vizuri.
Huwa najikuta nimeegemea sehemu moja zaidi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Na mengine kutoyafanya kabisa.

Je, wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda wako vizuri?
Hii haitokuwa msaada kwangu tu. Najua kuna vijana wengine kama Mimi wanashindwa ku-manage muda ipasavyo.
69d2daed2fbeaa24fd500504d0347ffd.jpg
Tumia muda mwingi kucheza game na kuingia mitandao ya kijamii... utaona mabadiliko
 
prioritize mambo, ujue nini cha muhimu na kipi si cha muhimu sana.
Then vile vya muhimu uvipe muda mzuri.
Mfano, unaweza ukaamka ukasoma bible na kusali, then mazoezi, usafi na kujiandaa kwenda kazini.
Baada ya kazi, ndio za msingi ndio mambo mengine kama kusalia ndugu na jamaa yatafuata.
Mfano mimi kwa leo,
Niliamka mapema, nikapiga zoezi kidogo, usafi then mishemishe zikaanza mpaka sa11 jioni.
Hapo nikaanza stori na kusalimia watu, then zoezi tena na vijikazi vidovidogo.
After supper, nikaona mpira mpaka sa6, nikapitia vitabu mpaka sa7, the ndio nimeingia mtandaoni mpaka saizi sa9.
Ila kiafya si vizuri kuchelewa hivi kulala so ukifika sa6 ni bora mtu kusitisha ratiba nyingine na kulala.

Hapo sijacheza games maana huwa nacheza ni kwa vile tu nimeona games si muhimu sana, hivyo na wewe panga ratiba zako kulingana na umuhimu wa kazi ulizonazo, visivyo na umuhimu hata vikikosa muda sawa tu
 
Back
Top Bottom