Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
Nipo pembeni hapa nasubiri kuwasikiliza wenzangu...
tatizo lako uko kibiashara zaidi, jf ni sehemu watu wanajifunza mambo mbalimbali, kwa nini usiweke kila kitu hapa na ss tukajuwa vitu hadim kama hiv
mimi sungura
Kukudume hayupo ndio tabia yangu kuchapa mkia tu
ahaa sungura
ahaaaaa! kumbe sungura. duh! kumbe mapepe wewe hautulii
situlii mwanzo mwisho nduki
bora wewe bwana usiyependa ugomvi maana siye wengine nyani bwana
mnashida sana alafu huwa ,mnakufa haraka
TIGER.......... NI KAMA SIMBA TU SEMA YEYE MPOLE ZAIDI LAKIN AKIKASIRIKA HATARI ZAIDI NA ANA WINDA SUNGURA( miss chagga UMENIELEWA) KIVYAKE VYAKE HATEGEMEI COMPANY YA WENZAKE AKIAMUA KAAMUA