Yuko jamaa mmoja anaziletaga from UKNimeipenda, umenunua wapi hii mkuu?
AhahahahaaPolice baby
Hivi hii mada inatuhusu na tunaotumia chronometers....?
DW-Daniel Wellington
Sio yeye huyo... Picha ya model wa kampuni inayouza hiyo saa.mbona una vinyweleo sana? mkono wako upo very romantic !!!!!!!!
Ahahahaha... Mie wyne rooney na ipo nyingine nimeagiza po pogback.... AibuuuLouis Hamilton...saa kali sana!!!
Reading time in different scenarios and accuracy....Nini tofauti mkuu?
Hivi kuna Saa aina ya Rolex ambazo bei yake ni chini ya Tsh. 4,000,000?
Unatumiamo??!!Msukuma utamjua tu kiswahili chakeJumapili nikienda church natupiamohii.