Wewe unapendelea kuvaa saa aina gani ya Mkononi?

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
1,952
Points
2,000

Soso J

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
1,952 2,000
boss wangu ana simu moja hyo unanunua gari kabisa
basi tu
Kukurupuka kubaya!!tunazungumzia saa ya mkononi!wewe unatuambia simu!!haya sasa unataka tuambia bosi alikuambia mpaka bei aliyonunulia hiyo simu mpaka ukasema bei yake unaweza nunua gari?
 

Forum statistics

Threads 1,343,548
Members 515,090
Posts 32,788,230
Top