Wewe unakerwa na Gubu?

Honestly kigarama wanaume wana gubu mbaya mno! anarudia rudia hivyo na wakati mwingine atanyamaza ukidhani yameisha kumbe anavuta pumzi huh!

sio hali ya kawaida kwa wanaume...ila ikitokea analo basi najua itakua balaa!
 
si wachache kama unavyodhani na kimsingi hatuwezi kujua statistic yao ila kama ilivyo kwa wanawake hiyo personality iko kwa wanaume pia.Thank God my hubby hayuko na hii kitu!
Wanaume wana gubu balaa, looh.
Ham sina
 
...wanawake wanaongoza katika hili...hakuna UBISHI

Shiiiii ! Ni kweli wanamiliki c .v hiyo kwa kiasi kikubwa, lakini sema polepole nong'ona wasiskie,
wakisikia watalianzisha gubu humuhumu kwenye Uzi wa mtu, lakini mi nashukuru Husninyo hana gubu.
 
Mkuu inabidi tuanzishe masomo ya kujiendeleza hapa wengi wanawahi ukubwani.

MANI !
Samahani , mi nina ndugu yangu anakwenda kwa jina kama lako, kwa kua humu tunatumia majina ya ukweli na ya kubandika, hivyo labda nikuulize MANI wewe sio mzawa wa Ilala mtaa wa Moshi ? Na Baba yako iniatial ya majina yake ni J. K ?
 
Back
Top Bottom