Wewe unajifanya una heshima sana!!!!!!!

Wewe unajifanya una heshima sana!!!!!!!

Foleni ndeeeeeeeeeeeeefu... kwenye daladala,... jamaa kaona heri amtumie msg bosi wake kwamba atachelewa.... ile kumaliza kuandika tu ..... kibaka kakwapua simu.... Jamaa kaishia kupiga kelele..BONYEZA SEND WEWE... BONYEZA SEND WEWE... Abiria wote mbavu hawana!!!!!
 
Back
Top Bottom