Wewe una kipaji/vipaji gani?

Upo vizuri mdau...๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
(Mimi pia nilikuwa napenda kuchora kipindi fulani)

IMG_20200602_010917_020.jpg
 
Nyeto mwaka wa 15 huu na sijapata tatizo lolote
Bora tu uoe.
Ila tafuta kujua kipaji chako ni nini hasa. Naomba ujiulize haya maswali... Unapenda kufanya kitu gani ambacho kina tija kwa wengine na kwako? Kuna jambo gani la kipekee ambalo unaweza ukalifanya kwa namna nzuri na tofauti ukilinganisha na wengine? Ni kitu gani unaweza kukifanya kikawagusa/ kikawavutia wengine na kikaweza kukuingizia kipato?
 
Ubunifu wa mavazi..ingawa sijauchukulia ile serious
Hongera!
Ili ubunifu uwe wa maana, zingatia na wekeza zaidi katika mambo haya matatu: NIA, MUDA, UVUMILIVU.
Nimeona wabunifu kadhaa wa mavazi ambao wamefikia hatua ya kuwa washonaji binafsi (personal tailors) wa 'watu maarufu' (wabunge, wasanii, n.k) hapa TZ na nje. Jifunze na ubuni zaidi!
Naamini unaweza kufika mbali...
 
Wengi tunavipaji ambavyo hatuvijui.
Ni kweli...
Kwa mtazamo wangu naona Sababu kubwa ni kukosa/ kutokuwepo kwa "Mazingira Wezeshi (Supportive Environment)" kuanzia katika ngazi ya familia na kuendelea. Inaweza kutokea mtoto ana kipaji cha michezo (mf; kucheza mpira) lakini wazazi wakakataa/ wakawa hawapo tayari kumtia moyo, kulea kipaji chake au kumuunganisha mtoto wao kwa watu sahihi ili afundishwe zaidi.
Pia katika swala zima la elimu, mitaala inayotumika haim'guarantee kabisa mtu kutambua, kutumia na kuendeleza kipaji chake (kuanzia primary mpaka university) ili kuleta impact kwa jamii pamoja na kumuingizia kipato.

Nyakati zimebadilika... Cha msingi ni kuchukua hatua.
 
Binafsi nina vipaji vifuatavyo:
1. Drawing
2. Designing (house)
3. Painting
4. Writing
5. Technician
6. Watching movies na kusimulia kama ilivyo.
Zamani sana nilikuwa nafanya hizi kazi 1-4 kwa kuchora mabango ya matangazo, maduka ya vyakula, garage, hotels maduka ya sonara, saluni...lakini kwa sasa najishughulisha zaidi na ufundi.
Nakumbuka nilianzia kwenye 2000 huko. Kipindi nilipokuwa shule nilijishughulisha sana na uchoraji pamoja na kushiriki mashindani ya uchoraji ambapo sikuwahi kufanikiwa kushika namba 1, lakini namba 2 nilishika sana.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Namba 5 sijaelewa
 
Hongera!
Ili ubunifu uwe wa maana, zingatia na wekeza zaidi katika mambo haya matatu: NIA, MUDA, UVUMILIVU.
Nimeona wabunifu kadhaa wa mavazi ambao wamefikia hatua ya kuwa washonaji binafsi (personal tailors) wa 'watu maarufu' (wabunge, wasanii, n.k) hapa TZ na nje. Jifunze na ubuni zaidi!
Naamini unaweza kufika mbali...
Ahsante Sana
 
Binafsi nina vipaji vifuatavyo:
1. Drawing
2. Designing (house)
3. Painting
4. Writing
5. Technician
6. Watching movies na kusimulia kama ilivyo.
Zamani sana nilikuwa nafanya hizi kazi 1-4 kwa kuchora mabango ya matangazo, maduka ya vyakula, garage, hotels maduka ya sonara, saluni...lakini kwa sasa najishughulisha zaidi na ufundi.
Nakumbuka nilianzia kwenye 2000 huko. Kipindi nilipokuwa shule nilijishughulisha sana na uchoraji pamoja na kushiriki mashindani ya uchoraji ambapo sikuwahi kufanikiwa kushika namba 1, lakini namba 2 nilishika sana.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Hongera kaka... Keep it up!
 
Mpira.... kilikufa
Short race(mbio)...kikafa pia
Ujenzi...kikafa
cooking skills...bado kipo nitakifanyia kazi

Hivi ulevi ni kipajii?
 
Mimi vimepotea vingi cha ucomedy bado kipo pia ila kibongobongo jau sana, mpaka ukaanze kuvaa madela na vijora vyakike ndio wanakuelewa
Ha ha ha ha! nakumbuka kipindi niko skuli nikiongelea utani kidogo darasa zima wanacheka.. ilifika kipindi nikishinda shule wanafunzi wanakuja kunifuata home.. sema life linatufanya tue serious na nchi yetu hii kutoka hata kwenye mpira jau sana
 
Back
Top Bottom