Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Jun 14, 2013 #1 Mara nyingi wanasiasa na wanahabari huwagawa wananchi katika makundi haya: Tabaka la Juu Tabaka la Kati Tabaka la Chini Mwananchi wa kawaida pia nimeambiwa na mshkaji wangu wa Nairoo kuwa kuna Tabaka la mahustlers Tabaka la Masonko Tabaka la Masofaras WEWE UKO TABAKA GANI?
Mara nyingi wanasiasa na wanahabari huwagawa wananchi katika makundi haya: Tabaka la Juu Tabaka la Kati Tabaka la Chini Mwananchi wa kawaida pia nimeambiwa na mshkaji wangu wa Nairoo kuwa kuna Tabaka la mahustlers Tabaka la Masonko Tabaka la Masofaras WEWE UKO TABAKA GANI?
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,374 Jun 14, 2013 #2 Tabaka la matingo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,066 Jun 14, 2013 #3 Wapigania haki na usawa kwa wote tabaka lisilobagua dini kabila wala rangi ya mtu ,tabaka lenye kulinda na kutunza tunu za Taifa tabaka lenye malengo ya kufuta umasikini ujinga maradhi udini na ukabila
Wapigania haki na usawa kwa wote tabaka lisilobagua dini kabila wala rangi ya mtu ,tabaka lenye kulinda na kutunza tunu za Taifa tabaka lenye malengo ya kufuta umasikini ujinga maradhi udini na ukabila