Wewe ratiba yako ipoje?

Wewe ratiba yako ipoje?

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
392
Wakuu inakuwaje, Ratiba zenu zipoje.

Mimi ya kwangu inaendana na kazi yangu, asubuhi tunaingia mazoezini baada ya hapo kumwagilia bustani pamoja na kulisha kuku.

Nikitoka hapo najiandaa kuingia kazini jioni tena kulingana na kazi yangu naingia mazoezini.

Baada ya hapo Kuna kazi online mpka saa 4, baada ya hapo huwa nalala huwa nachoka sana. Kuamka saa 11:00 nafanya ibada then ratiba inaendelea.

Wewe ratiba yako ipoje?
 
Nimenoa panga nimekaa nalo standby nasubiri nyumbu yoyote mwizi na muharibifu wa mali atoke barabarani kwa kisingizio cha maandamano ya amani kumbe wahalifu wakubwa nimtembezee kichapo
 
sasa hivi nimeshikilia kopo la chimpumu , tunapiga soga na wanagenzi.....

Huko dasilamu kumbe mna maisha mazuri kiasi hicho ?
 
Nimenoa panga nimekaa nalo standby nasubiri nyumbu yoyote mwizi na muharibifu wa mali atoke barabarani kwa kisingizio cha maandamano ya amani kumbe wahalifu wakubwa nimtembezee kichapo
Hizo mali unazosubiri mwizi aziibe au aziharibu ni za nani?
 
Wakuu inakuwaje, Ratiba zenu zipoje.

Mimi ya kwangu inaendana na kazi yangu, asubuhi tunaingia mazoezini baada ya hapo kumwagilia bustani pamoja na kulisha kuku.

Nikitoka hapo najiandaa kuingia kazini jioni tena kulingana na kazi yangu naingia mazoezini.

Baada ya hapo Kuna kazi online mpka saa 4, baada ya hapo huwa nalala huwa nachoka sana. Kuamka saa 11:00 nafanya ibada then ratiba inaendelea.

Wewe ratiba yako ipoje?
Mbona hakuna kipengele cha bia mkuu. Hautumii!🥹
 
Back
Top Bottom