Wewe nishakusoma wewe! Kweli maisha ni cycle

Koschei

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
451
Reaction score
749
Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa kwenda home ikabidi ni lale kwa kochi yeye alale kitandani.

Baada ya muda akaniamsha akidai ananionea huruma nitang'atwa na mbu nipande tu kitandani tulale wote ila nisimguse nikasema sawa. Kupanda kitandani akaniambia nimuhakikishie kuwa sitamgusa nikasema sawa.

Baada ya muda kidogo akanifunika shuka alilokuwa kajifunika yeye hivyo tukawa kwenyeshuka moja na yeye akiwa uchi kama alivyozaliwa na alikuwa akisisitiza nisimguse nikasema sawa.

Mara baada ya muda akanishtua tena na kusema, fulani haki usiniguse mimi naogopa. Eti kama Ungekuwa wewe ndiyo mimi ungefanyaje?😁
 
Haha naona story yako hujaimalizia. Maliza kwanza ndio utuulize kama ingekuwa sisi tungefanyeje?😀
 
Ni sheeedaah
1000108725.jpg
 
Nisingemgusa.
Cha ajabu leo tena hii ishu imejirudia. Mdada ananiita niende kwake nikamsaidie kuweka sawa Website yake. Namwabia usiku saivi ngoja kesho, anasema njoo utalala kwangu. Nikamwambia mi siwezi kulala kwenye kochi. eti wewe njoo tutalala wote kitandani ila sitaki swala la mapenzi. Ikabidi nicheke tu😁😁😁
 
Akilala uchi na wewe lala uchi.
 
Japo tangawizi ipo kwa mbali sana,ila acha tu nikalete na hayo maandazi.
 
Attachments

  • 71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    1.5 MB · Views: 14
Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa kwenda home ikabidi ni lale kwa kochi yeye alale kitandani.

Baada ya muda akaniamsha akidai ananionea huruma nitang'atwa na mbu nipande tu kitandani tulale wote ila nisimguse nikasema sawa. Kupanda kitandani akaniambia nimuhakikishie kuwa sitamgusa nikasema sawa.

Baada ya muda kidogo akanifunika shuka alilokuwa kajifunika yeye hivyo tukawa kwenyeshuka moja na yeye akiwa uchi kama alivyozaliwa na alikuwa akisisitiza nisimguse nikasema sawa.

Mara baada ya muda akanishtua tena na kusema, fulani haki usiniguse mimi naogopa. Eti kama Ungekuwa wewe ndiyo mimi ungefanyaje?😁
Daaah ningeishiwa pawa
 
Back
Top Bottom