haujaulizwa unafanya kazi gani mkuu
We hujui kiswahili kabisaaa, halafu huku niliko nimekutana na nyinyi wanyarwanda wengi mnaojifanya mnaijua lugha hii kuliko sisi waswahili.
Ngoja nikueleweshe hapa, mimi ni dereva wa lori. Kazi ninayofanya ni kuendesha lori, hupo hapo?
ulikimbia baada ya kuliangusha lile lori la mafuta juzi bro...duuh ndo maana uko huko umefukuzwa kazi na unatafutwa na manjangu wa kekoMimi ni dereva wa lori.
ulikimbia baada ya kuliangusha lile lori la mafuta juzi bro...duuh ndo maana uko huko umefukuzwa kazi na unatafutwa na manjangu wa keko
mm ni binadam mwenye jinsia ya Me nilieumbwa kwa mfano wa mungu
Mi mzima shem,,,miss you
Ngosha8 hapa
Mkusanyiko wa nyama mifupa na mishipa na fahamu
Wa kike au wakiume?