King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
- Thread starter
- #21
Nataka uelezee wewe ni nani na sio jina lako au kazi yakoKing Octavian
Mkuu unataka kutueleza ni hasa maana huenda wengine hapa hatujakuelewa!
Nataka uelezee wewe ni nani na sio jina lako au kazi yakoKing Octavian
Mkuu unataka kutueleza ni hasa maana huenda wengine hapa hatujakuelewa!
Lijibu namna nilivyoshindwaNi philosophical question japo mtoa mada nae ameshindwa hata kulijibu
Hahaha! Jibu kwanza mkuu, marks baadaeHilo swali lina marks ngapi!
We kiboko nimecheka karibu waite ambulance. Duuu hatareeeIm Tycoon for Life, Field Marshal Al Hadji Professor Amalinze The cat my back never touch the ground, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Tanzania in Particular"
Kwa mfano unagonga mlango halafu mtu wa ndani akakuuliza wewe nani? Je utatakiwa umjibu vp?Wewe ni nani?
Ni swali ambalo ukiulizwa unaweza kuliona rahisi sana na kulijibu haraka haraka Kwa kutoa jibu linalotaja jina lako. Mimi ni James, ama Mimi ni Janeth!! Lakini ni ukweli ulio wazi kua wewe si jina lako. Wewe ni zaidi ya jina lako.
Ama unaweza kujibu kwa kutaja kazi yako, wewe ni nani? Ukajibu, mimi ni Mkurugenzi wa Masoko wa CRDB, mwingine atasema mimi ni Mbunge au mimi ni Waziri, ama mimi ni Mwalimu. Lakini ukweli ni kwamba wewe si kazi yako, wewe si cheo chako. Wewe ni zaidi ya kazi yako. Na kazi yako sio wewe.
MIMI NI NANI?
Naweza kujibu hivi.
Mimi ni mimi duniani kote, nipo mimi mwenye mawazo ya aina yangu, Hakuna mwingine kama mimi, Nikifa. Akizaliwa mwingine akapewa jina langu, atakua mwingine mwenye jina langu. Mimi hana mbadala ila kuna mwingine atakayefanya niliyofanya. Mimi hawezi kua ndani ya mwingine popote, kabla yangu na baada yangu.
Je! Wewe ni Nani?
Hahaha! Jibu kwa kadili unavyojielewa mkuu, najua unajua wewe ni naniKwa mfano unagonga mlango halafu mtu wa ndani akakuuliza wewe nani? Je utatakiwa umjibu vp?
Basi mi ntakua mke wa mume wanguMimi ni Mme wa Mke wangu.
ningeuliza roho ikoje/inasifa zipi ungenijibu hivi lkn nimekuuliza unawezaje kuihisi roho...?Roho inajitambua kuliko mwili, roho inayohisia kuliko mwili, Roho Ina macho yanaona vizuri kuliko ya mwili, Ina masikio,Ina nguvu kuliko mwili,
Roho ni kitu cha kusadikika zaidi mkuu[/QUOTE
Roho ni halisi, mwili haufai kitu pasipo Roho ndio maana roho ikitoka mwili unaitwa umekufa