Wewe ni mwanangu nipo pamoja na wewe

Hivi Huyu Mpiga Picha hakuona Rais kapewa 'kono la Kushoto' alaf KALIPOKEA

Picha kama hizi unazipotezea tu
 
Hivi Huyu Mpiga Picha hakuona Rais kapewa 'kono la Kushoto' alaf KALIPOKEA

Picha kama hizi unazipotezea tu

Mwenye nacho ndugu yangu, utajali hata kama akimwambia inama nikukanyage wewe badala ya red-capeti atakubali, as long as wanalipa hela ya mauziano ya ardhi yetu ya kigamboni.


Teh teh , kikwetu mtu akikupa mkono wa kushoto ni dharau ya hali ya juu na mnaweza fikishana mahakamani, mkono wa nya'
 
full shangwe mwana kwetu
yeye ni kucheka tu, mambo ya mkono wa shoto yenu
yeye hayamhusu kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…