Wewe ni mwanangu nipo pamoja na wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ni mwanangu nipo pamoja na wewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 3, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  NO COMMMENT

   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  NO COMMENT! TOO :A S embarassed:
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  :poa walikuwa wanapatana jinsi gani watapeana risiti..
   
 4. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi Huyu Mpiga Picha hakuona Rais kapewa 'kono la Kushoto' alaf KALIPOKEA

  Picha kama hizi unazipotezea tu
   
 5. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145


  mbona huyo mzungu kama anaonyesha ishara ya vidole tatu bila???

   
 6. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mwenye nacho ndugu yangu, utajali hata kama akimwambia inama nikukanyage wewe badala ya red-capeti atakubali, as long as wanalipa hela ya mauziano ya ardhi yetu ya kigamboni.


  Teh teh , kikwetu mtu akikupa mkono wa kushoto ni dharau ya hali ya juu na mnaweza fikishana mahakamani, mkono wa nya'
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  full shangwe mwana kwetu
  yeye ni kucheka tu, mambo ya mkono wa shoto yenu
  yeye hayamhusu kabisa.
   
 8. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kati yao yupo aliyepitia Scout!
   
 9. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Yeye kwa Bush ni dhaifu,kila kitu yes...
   
 10. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kikao cha FREEMAS....... hicho
   
Loading...