Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,953
- 3,789
Pombe yaani haiwezi pita siku hata moja sijatia Mali.
[emoji2][emoji2]Wanawake wenye makalio makubwa makubwa hata nikiwa naye tunatembea akitokea mwingine naye ninamtamani aseee acha tu churaaa
Si ulisema umeacha wewe?Mibange
GENTAMYCINE 365 days x... huwezi pita siku bila ku...Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
Ameelewa anamaanisha anapenda kulalaDuuuhhh umeisoma thread vizuri na ukaielewa lakini
Duuuhhh umeisoma thread vizuri na ukaielewa lakini
[emoji12] [emoji12] [emoji12]In Nabii Tito's voice
Hahahahahaaa mpaka nimecheka........kila mtu ana kitu anachokipendaIyo addiction yako
, kwa kweli Mimi siwezi kuwa mlevi wa Ilo game.
Ameelewa anamaanisha anapenda kulala
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Kweli kabisa alikuwa ana usingiziAna usingizi huyo
Kuwa makini utaffukuzwaMe usingizi tu
nauchapa mpaka kazini