Wewe ni mfano wa tunda gani kati ya haya.........!!?

Wewe ni mfano wa tunda gani kati ya haya.........!!?

kamshange

New Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
3
Reaction score
2
1. EMBE- Furaha ya NDOA.
2. CHUNGWA- Mpweke lakini Unatafuta.
3. LIMAU- Unampenda mtu lakini unaogopa kumwambia.
4. SHOKISHOKI- Upo katika mausiano ama ndoa lakini unaye mwingine ambaye unampenda.
5 PEASI- Bado unampenda mtu wako wa Zamani.
6 PARACHICHI- Upo katika mausiano na mtu asiyekufaa na hujui ni kwanini unaendelea naYe.
7.ZABIBU- Mpweke lakini ni mwenye furaha.
8. NANASI- Huna habari na mapenzi.
9.TANGO- Upo katika mausiano lakini hujui kitakacho kutokea baadae.
10.PERA- Unampenda mtu ambaYe naYe anampenda mTu Mwingine.
11.PENSHENI- Umechanganyikiwa na Maisha.
 
Back
Top Bottom