Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
sana...nipo napavutia picha hapa!Unapakumbuka...??![]()
sana...nipo napavutia picha hapa!Unapakumbuka...??![]()
Usisahau na zile ngoma zao tuu...sana...nipo napavutia picha hapa!
hahahaUsisahau na zile ngoma zao tuu...

ngoma zile nazikumbuka, alafu ajabu wewe sikukuona kucheza.....why!!Nimecheka kwa nguvu Miller,.unajisahaulisha ee,. umesahau mm ndiyo binti pekee wa kifalme wa Zamunda,.nachezaje ngoma kwa mfano na vile viwalo vyao😂😂😂hahahangoma zile nazikumbuka, alafu ajabu wewe sikukuona kucheza.....why!!
au ndio binti wa mfalme hachezi!
hahahaNimecheka kwa nguvu Miller,.unajisahaulisha ee,. umesahau mm ndiyo binti pekee wa kifalme wa Zamunda,.nachezaje ngoma kwa mfano na vile viwalo vyao![]()
















umenichekesha sana