Sasa si umuonyeshe tu huyo nerd wa IT bandiko hili mwenyewe ataamua kama kazi anaiweza na kuitaka au na wewe unatafuta cha juuI know a guy.
A real nerd wa IT. Best I've seen.
Kama itakupendeza I'll connect you
Kabugira, umeongea point.Sasa si umuonyeshe tu huyo nerd wa IT bandiko hili mwenyewe ataamua kama kazi anaiweza na kuitaka au na wewe unatafuta cha juu
Ndugu zangu,
Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.
A quick introduction about the project;-
Nini nitahitaji kutoka kwako?
- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
- Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
- Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini atapata kutoka kwangu?
- Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
- Mbili, uwe based Dar es Salaam
- Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
- Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
- Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.
- Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
- Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Karibuni wakuu.
NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.
I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.
I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.
ok! naomba your contacts au unaweza nicheck 0711633656Ndugu zangu,

Mchukue Kuchwizzy ni mkali sana.Ahsante mkuu, naweka ratiba sawa nione weekend hii naweza vipi ku set meeting na George & Masoktz.
Kama kwa namna yoyote sitapata wa kwenda naye kwenye hili kati ya hawa wawili, then Kuchwizzy pia yupo kwenye sidelines.
Pep namuelewa sana, nje ya mpira pia.....namna anaishi na familia yake.
Hebu fanya wasiliana na huyu natumai kiu yako itaisha.Ndugu zangu,
Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.
A quick introduction about the project;-
Nini nitahitaji kutoka kwako?
- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
- Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
- Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini atapata kutoka kwangu?
- Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
- Mbili, uwe based Dar es Salaam
- Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
- Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
- Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.
- Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
- Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Karibuni wakuu.
NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.
I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.
I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.
Kwa experience yangu website kwa iyovigezo vyako lazima iwe developed juu ya web framework. Framework nyingi zimetengeneza ku handle complex websites na zenye features nyingi kama ulivyo sema. Pia security ni jambo ya umuhimu pia web framework imelishuhulikia vitu kama