Kama una Wivu Usioe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu wakuu.

Kwenye maisha ni vyema tukakubaliana kuwa sio kila binadamu ana moyo wa kukubali kuwa a second Option.

Kwa Dunia ya leo Wanawake wengi wanaolewa na watu ambao hawakupanga wawe nao kwenye ndoa, unakuta Mwanamke alishawahi ku-do/Mahusiano na wanaume zaidi ya 5, unafikiri wewe Mwanaume unaemuoa utakuwa na moyo wake?

Kwa Dunia ya sasa kama unaoa basi usimpende huyo unaemuoa na usiwe na Wivu juu yake.
 
Habari zenu wakuu.

Kwenye maisha ni vyema tukakubaliana kuwa sio kila binadamu ana moyo wa kukubali kuwa a second Option.

Kwa Dunia ya leo Wanawake wengi wanaolewa na watu ambao hawakupanga wawe nao kwenye ndoa, unakuta Mwanamke alishawahi ku-do/Mahusiano na wanaume zaidi ya 5, unafikiri wewe Mwanaume unaemuoa utakuwa na moyo wake?

Kwa Dunia yasasa kama unaoa basi usimpende huyo unaemuoa na usiwe na Wivu juu yake.

Mwenye kupasa kuwa na wivu ni mwanamke, kama ilivyoandikwa...

Mwanzo 3
16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
 
Ni kweli, ila tambua kuwa mwanamke anaonesha wivu kwa Mwanaume anaempenda tu!

Dunia ya leo wanawake wengi wanaolewa na watu wasiowapenda, kwahyo ni ngumu wanawake kuwa na wivu.
 
Kuna wanawake wengine wana 20 na bado wanataka ndoa
20!????!??, Wanawake wanaanza kutongozwa na kugongwa wakiwa darasa la 6 na miaka 13 au 14, anakuja kuolewa na miaka 28 au 30 kabisa, kagongwa na 20 tu!???,wanawake wanafikisha hadi wanaume 50 kabla ya kuolewa na unakuja kidume unajitutumua kulipia mahali 😆😁,wakati mwingine dunia haiko fair kabisa.
 
Lakini wivu wa mwanamke hauzidi wivu wa mwanaume kwenye suala Zima la mapenzi
Kabisa.

Ndio maana Mwanaume akioa ni dhahiri kuwa amempenda Wife, tofauti na Mwanamke.

Wanawake wengi wanaolewa na watu wasiowapenda kwasababu tofauti tofauti eg. PESA, UMRI n.k
 
20!????!??, Wanawake wanaanza kutongozwa na kugongwa wakiwa darasa la 6 na miaka 13 au 14, anakuja kuolewa na miaka 28 au 30 kabisa, kagongwa na 20 tu!???,wanawake wanafikisha hadi wanaume 50 kabla ya kuolewa na unakuja kidume unajitutumua kulipia mahali ,wakati mwingine dunia haiko fair kabisa.
Ni Mtihani kaka.
 
Mwanaume kamili hakumbuki idadi ya alokwisha kwichi kwichi nao. Ukiona anasema 3..4...5..6 huyu atakuwa sio rijali
 
Back
Top Bottom