Wakuu let me make this clear,
From beginning nilijua tu uzi huu ungeleta matatizo ya kutoelewana na ma comrade wenzangu wa hapa JF. Wengine wametoa commentz za kubeza, wengine wametukana, wengine pia wameweza kutaja taaluma/fani zao. Pengine ni lugha niliyotumia kuwasilisha swali langu ndio imetafsiriwa vibaya, I intended to ask
"Wewe mwanaJF una taaluma gani?" Na si kubeza au bagua wanajamii ambao hawana shahada. Nakubaliana kabisa na mtazamo wa wengi kwamba elimu si ujuzi, lakini fikirieni ndugu zangu, kutambua fani/taaluma ya mwenzako pia inaweza ikawa na manufaa kwako kwa mfano let's say labda kuna mwanaJF perhaps anataka kujenga nyumba unakuta kuna ma architect humu ambao wanaweza kumshauri etc. Nasisitiza, naomba nisieleweke vibaya, lengo langu lilikua nikujua taaluma mbali mbali za wanajamii na si kubeza elimu za watu. Sisi ni Great Thinkers, sidhani kama malumbano na kurushiana maneno ya kejeli vitasaidia kujenga, wala kuPM matusi sidhani kama ni uungwana. Well said then, niwatakie weekend njema nyooote!
PHD in Acid throwing on faces and drugs trafficking via JNIA.
Hapo sawa umeeleweka BSc,MBA UDSM

Mkuu Bsc yako ni ya nin?
Tuweze kufahamiana taaluma zetu!
kwanini hukuulizia taaluma ukakurupukia kwenye shahada?!
Au mpka mtu utambulike una taaluma flani mpaka uwe na shahada?vipi wenye cheti?diploma?na wengineo?hawana taaluma za diploma zao au vyeti vyao?wenye masters je?
Acha sifa lengo la elimu libadilike kutoka kwenye kujitafutia sifa liende kwenye kupambana na vikwazo vya maisha!
Inaelekea wewe umegraduate juzi..
Grow up
Tunatumia fake identities/names kwa hiyo tegemea taaluma fake pia.
Tuweze kufahamiana taaluma zetu!
ahsante, ila next time kuwa makini sana unapo-post bandiko lako, humu JF watu wapo critical sana.Hongera sana mkuu
duu mbona umekaa kibaguzi arifee yaani sisi wenye vyeti umetupotezea poa bana..
Heheheeeee shahada ya uzamili katika uzamivu uliozamivika kazamizami