Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,

Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.

Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?

Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?

Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.

Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.

Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?

Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Kama unadhani kujiajili ni jambo rahisi acha kazi njoo huku tulipo hakuna cha mwisho wa mwezi.

Una uwezo wa kukomaa na kuvumilia miezi kadhaa mambo hayasomeki? Utamkumbuka mwajili wako anayekulipa kila mwezi hata kama hajatengeneza faida, muwaheshimu sana hao wanaowalipa mishahara wanabeba all risk, na ikitokea kuanguka anaanguka yeye.
 
Kufanikiwa hakuji kwa kusave hela, huo ni uongo.
Saving ni part of the journey. Na huwezi kufanikiwa bila kuraise capital kwa kusave kwanza..

Hata kukopa bank ili ununue asset au ufanye biashara, ni equivalent ya kutumia “projected savings” zako in advance maana hata banks sio mafala. Wanaangalia main source yako ya income na kama unaweza kurudisha rejesho lao na ukabaki unaishi kama mtu. Hufanya hivyo kwa kuangalia 2/3 ya Kipato/Mshahara wako kabla ya kuamua wakukopeshe ngapi

Mindset yako ya kutoamini kwenye tabia ya kusave kama step 2 ya wealth creation ndio imekufanya uwe mtu wa 7.00 am (not 9.00am) to 5.00pm. You need to shift your mindset, brother. Otherwise, utaendelea kujutia kila asubuhi
 
Kama unadhani kujiajili ni jambo rahisi acha kazi njoo huku tulipo hakuna cha mwisho wa mwezi.

Una uwezo wa kukomaa na kuvumilia miezi kadhaa mambo hayasomeki? Utamkumbuka mwajili wako anayekulipa kila mwezi hata kama hajatengeneza faida, muwaheshimu sana hao wanaowalipa mishahara wanabeba all risk, na ikitokea kuanguka anaanguka yeye.
Hakuna biashara isiyo kuwa na faida.

Wanajua namna ya ku maximize profit huku wewe ukitrade muda na nguvu zako.

Nenda viwandani, mtu wanalipwa elf 7 kwa kufanikisha product ya laki.. Je unadhani nani anakula faida kubwa?

They know exactly how to use human resources. Sasa kaa hapo uone kuwa it's just easy for us huku wao wakitengeneza mara 20 ya ujira wako(production yako pekee)

Sasa multiply kwa watu 100 alaf uje useme kuwa game iko favorable kwa aliye ajiriwa
 
Siwezi kudiscuss issue kama hizi na salary guy, huna unalolijuwa.
 
Saving ni part of the journey. Na huwezi kufanikiwa bila kuraise capital kwa kusave kwanza..

Hata kukopa bank ili ununue asset au ufanye biashsra, ni equivalent ya kutumia “projected savings” zako in advance maana hata banks sio mafala. Wanaangalia main source yako ya income na kama unaweza kurudisha rejesho lao na ukabaki unaishi kama mtu. Hufanya hivyo kwa kuangalia 2/3 ya Kipato/Mshahara wako kabla ya kuamua wakukopeshe ngapi

Mindset yako ya kutoamini kwenye tabia ya kusave kama step 2 ya wealth creation ndio imekufanya uwe mtu wa 7.00 am (not 9.00am) to 5.00pm. You need to shift your mindset, brother. Otherwise, utaendelea kujutia kila asubuhi
I know, ila wewe unadhani ni maneno tu..

Haujui kuwa hela sio kama gold.

Hela iliyo kaa tu bila kujizalisha huwa haina thamani.

Na ukisema u save hela, jiandae kuwa mtumwa wa hiyo hela, na ukisha kuwa mtumwa anytime soon lazima urudi ground zero.

Issue bora ni kutafuta how you can maximize hiyo hela hata kama ni kwa margin ndogo.

Ukienda na kusave sijui kwa miaka mi 5, trust me hufiki
 
Siwezi kudiscuss issue kama hizi na salary guy, huna unalolijuwa.
Ndo maana nikamwambia wewe usije na ushauri wa kijinga kupumbaza watu, sio kila mtu wa kushika kwa manipulation uchwara.

Sasa umekosa hoja, unasingizia "salary guy" how pathetic???

Ni kheri ungekaa kimya, ila sio kuleta udanganyifu wa kishamba
 
Jichanganye uje ulipwe na TASAF elfu 30 kwa mwezi. Ajira ndio mkombozi wa kupunguza umasikini na hiyo ni kwa dunia nzima. Suala ni unalipwa kiasi gani. Ukilipwa pakubwa ni rahisi kujiajiri ndani ya muda mfupi. Ukilipwa padogo unahitaji muda kukusanya mtaji. Kijana mwajiriwa usikurupuke , wamorrocco elfu 60 wamekimbilia spain kwenda kujiajiri?
 
Mimi naona the system is designed to fail us. Hakuna somo shuleni utafundishwa namna ya kujinasua na kuwa investor. They don't teach you about money
Shuleni ulifundishwa na nani? Hukuwahi kuugua katika maisha yako ukaenda hospitali? Hospitali nani alikuhudumia? Sasa hivi unafanya kazi unapokea mshahara na nina uhakika mshahara wako unaingia kupitia Bank. Hata kama unaweza kuwa unachukua pesa yako kutoka kwenye ATM lakini hata kama utaamua kuwa mfanya biashara pesa yako utaweka Bank. Nani anakuhudumia kwa mahitaji yako ya Bank?

Nina uhakika unasafiri katika hekaheka zako, nani anakuhudumia unaposafiri? Iwe kwenye ndege, bus, Meli au popote.

Sasa can you survive bila hao niliotaja hapo juu. Acheni kudharau ajira na watu walioajiriwa. Kama unaona huwahitaji basi acha hiyo kazi unayoifanya na kulalamika. It is easier said than done.
 
Ndo maana nikamwambia wewe usije na ushauri wa kijinga kupumbaza watu, sio kila mtu wa kushika kwa manipulation uchwara.

Sasa umekosa hoja, unasingizia "salary guy" how pathetic???

Ni kheri ungekaa kimya, ila sio kuleta udanganyifu wa kishamba
Nitadiscuss nini na mtu ambaye huwezi kuitwa na Commisioner wa TRA for Tax duscussion?

Wewe subili miaka 30 ya Bongo Fleva.
 
Shuleni ulifundishwa na nani? Hukuwahi kuugua katika maisha yako ukaenda hospitali? Hospitali nani alikuhudumia? Sasa hivi unafanya kazi unapokea mshahara na nina uhakika mshahara wako unaingia kupitia Bank. Hata kama unaweza kuwa unachukua pesa yako kutoka kwenye ATM lakini hata kama utaamua kuwa mfanya biashara pesa yako utaweka Bank. Nani anakuhudumia kwa mahitaji yako ya Bank?

Nina uhakika unasafiri katika hekaheka zako, nani anakuhudumia unaposafiri? Iwe kwenye ndege, bus, Melissa au popote.

Sasa can you survive bila hao niliotaja hapo juu. Acheni kudharau ajira na watu walioajiriwa. Kama unaona huwahitaji basi acha hiyo kazi unayoifanya na kulalamika. It is easier said than done.
Sijasema kuajiriwa ni mbaya, and we need people to do so...

Sina nia ya kuwarubuni watu waache kazi, bali nawapa makavu kuwa financial freedom haipo katika kuajiriwa, hasa kwa nchi zetu hizi.

POV yako iko sahihi, na sina nia mbaya na walio ajiri wa. Nimetoa mtazamo wangu kuhusu uhuru wa fedha
 
I know, ila wewe unadhani ni maneno tu..

Haujui kuwa hela sio kama gold.

Hela iliyo kaa tu bila kujizalisha huwa haina thamani.

Na ukisema u save hela, jiandae kuwa mtumwa wa hiyo hela, na ukisha kuwa mtumwa anytime soon lazima urudi ground zero.

Issue bora ni kutafuta how you can maximize hiyo hela hata kama ni kwa margin ndogo.

Ukienda na kusave sijui kwa miaka mi 5, trust me hufiki
Nani kaongea kuhusu saving ya miaka mitano?

Seems then mhusika anakuwa hana time bound na specific goals

Nimesema saving ni step 2 na huwezi kuishia kwenye savings tuuuu ukasema umemaliza. Lazima hiyo pesa itumikishwe

Ninaishia hapa. Enjoy the 7.00am - 6.00pm club
 
Jichanganye uje ulipwe na TASAF elfu 30 kwa mwezi. Ajira ndio mkombozi wa kupunguza umasikini na hiyo ni kwa dunia nzima. Suala ni unalipwa kiasi gani. Ukilipwa pakubwa ni rahisi kujiajiri ndani ya muda mfupi. Ukilipwa padogo unahitaji muda kukusanya mtaji. Kijana mwajiriwa usikurupuke , wamorrocco elfu 60 wamekimbilia spain kwenda kujiajiri?
Hapo Spain ni karibu na kwao, na Ufaransa wapo kwa sababu wote ni Francophone.

Ukifika Cape Town wamejaa ila ni vigumu kuwatofautisha na wenyeji maana wanafanana na Makaladi wa Cape Town.

Ukiiangalia Morroco ya kwenye Tv utajuwa hawa watu hawana shida, ila ukisafiri safiri ndio utajuwa mengi uliyokuwa hauyajui.
 
Jichanganye uje ulipwe na TASAF elfu 30 kwa mwezi. Ajira ndio mkombozi wa kupunguza umasikini na hiyo ni kwa dunia nzima. Suala ni unalipwa kiasi gani. Ukilipwa pakubwa ni rahisi kujiajiri ndani ya muda mfupi. Ukilipwa padogo unahitaji muda kukusanya mtaji. Kijana mwajiriwa usikurupuke , wamorrocco elfu 60 wamekimbilia spain kwenda kujiajiri?
It's not about unalipiwa kiasi gani..

It's about how unaweza kujinasua, na ndo unacho lack sisi wamatumbi
 
Back
Top Bottom